Badala ya kunung'unika muende mkatafute hela ili muwahudumie wapenzi wenu. Nimetaja tu swala la K kama mfano. Point ni kwamba wanaume wanawaza kuwatumia wanawake tu bila kujali matunzo. Mtaandamana lakini mwisho wa siku nimesema ukweli.
mwaya wasikushambulie kwa kusema ukweli, mwanaume majukumu ati! mimi ni mwanaume lakini nakubaliana na mada yako. Wanaume wanaokupinga wengi wao ni wale wanaoogopa majukumu au wenye kipato kiduchu, na wanawake wanaopinga wengi wao ni wale wanaojiweza kimaisha.
Hajaribu ku-imagine wadada wanavyojiandaaga (kuoga vizuri, manukato safi, pamba nzuri etc) kwenda kwa boyfriends wao, tena wengi kwa kutumia kijipato chake kidogo au kwa kupewa na wazazi, ndg halafu anaishia kuchafuliwa tu na jamaa, hata haonyeshi kuchangia hizo gharam, loh! pum....bu zetu!!! sikubali hata kidogo!!
Jamani wanawake wanapenda kupendwa!!! shida vijana wa digitali wanataka vaisivesa! mwanaume kuheshimiwa bhana!
Nilimaanisha ikishindikana kabisa hasa kwa wale wasio na kipato basi kwenye zile zile wachukue wanunuepo vizawadi.
Vijana wengi ni mario, wakwepa majukumu. Wanawake wengi waliopinga hapa wanaajidai kujifanya mbele ya keyboard kwamba ni wema kumbe sio. Hii ni reality ya maisha. Ichukue au iache. JF kila mtu anajifanya mwema na mpinga uovu ila watu wa JF ni hawa hawa walioko mtaani ambao ni wachunaji, malaya , wanafiki n.k.
kwani unauza sh ngapi hiyo k yako?
Ndugu hapo umekosea kiduchuuuuuuuuuuuuuuuu ni akili za "DEMU WA USWAHILINI"hii ndio akili ya "DEMU WA KISWAHILI"...........
mwaya.....ati.....loh.....kwa misemo hii i bet ur a man.mwaya wasikushambulie kwa kusema ukweli, mwanaume majukumu ati! mimi ni mwanaume lakini nakubaliana na mada yako. Wanaume wanaokupinga wengi wao ni wale wanaoogopa majukumu au wenye kipato kiduchu, na wanawake wanaopinga wengi wao ni wale wanaojiweza kimaisha. Hajaribu ku-imagine wadada wanavyojiandaaga (kuoga vizuri, manukato safi, pamba nzuri etc) kwenda kwa boyfriends wao, tena wengi kwa kutumia kijipato chake kidogo au kwa kupewa na wazazi, ndg halafu anaishia kuchafuliwa tu na jamaa, hata haonyeshi kuchangia hizo gharam, loh! pum....bu zetu!!! sikubali hata kidogo!! Jamani wanawake wanapenda kupendwa!!! shida vijana wa digitali wanataka vaisivesa! mwanaume kuheshimiwa bhana!
u dont sound like a man at all.....................mi nigekuwa mwanamke, mwanaume mkwepa majukumu haonji k yangu akyanani, acha nikaenayo hadi apatikane mwenye kunijali, kwani isipochokonolewa itaziba! kwanza ndo inazidi kuwa mnato, loh! Hao kina mario tupa kule, kisa cha kuchafuliwa bure! mi nakula uhandsome wako? nauvaa? naupulizia mwilini wangu uninukishe? unanipeleka shopping? uhandsome uendane na majukumu ndo raha yake, sasa bure bure tu kisa handsome, kwendazako hukoooo!
u dont sound like a man at all.....................
mwaya.....ati.....loh.....kwa misemo hii i bet ur a man.
^^
Ya nini Malumbano
Ya nini Maneno
Najiweka pembeni
Naepusha msongamano
Bora nitulie ningoje changu na mie
Mola nijalie haya yasijirudie..
(20%)
^^