Nakushangaa wewe

Ulikuwa hujui?watu wako kazini so usishindane nao kukesha humu,piga kazi build your career n future
ha ha ha ha ha ha ha! kumbe ni msaidizi wa haziband humu , itakuwa anaripoti abuse.
 
Ulikuwa hujui?watu wako kazini so usishindane nao kukesha humu,piga kazi build your career n future

nilipita humu kuchungulia tu kidogo ,ndiyo nakakuta wife wa paw yupo night shift......
 
Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume ni hii hapa mwanamke anatumia hisia kutoa maamuzi na mwanaume anatumia logic..sasa kwa mwanaume akishaona wewe unanukia freshi,umenunua gari, unajaza mafuta umeapanga sehemu freshi haiingii akilini kwamba eti unataka kuhudumiwa juu ya vitu vidogo vidogo unless uwe umehongwa kwa hiyo kihisia wewe mdada utahisi haupendwi ingawa logically mwanaume yuko correct kabisa..unanunua petroli lita 15 halafu unataka ununuliwe pafyunu sijui ch*pi...obiiinaaa u dey mad eeehh...sasa kidume nar kapanga,ana ndiga etc ndio anafanya kazi sasa kwani kwao hana familia? Bi mkubwa, wadogo zake etc..nikisahihishe gilfriend hastahili matunzo ya aina yeyote ile ni mke tu ndo anaestahili hivyo vitu kama matunzo etc maana hata bible haimtambui gilfriend maana mwanaume anaaswa amtunze mkewe sio gilfriend..gilfriend ni concubine ambaye kisheria halipwi wala hastahili chochote kile..ukisoma hii kitu tumia logic na sio hisia..ukitaka maisha yako yawe magumu duniani hapa tumia hisia..daaah..i feel so good nimeimaster logic..via emotionless nigga..0ver..!!
 
DT tatizo hao ambao wangekuelewa hawana muda wa kuingia jf kama wapo ni wa2 au 3 wako busy wanatafuta pesa ya kutunza wapenzi na maisha yao, kama leo wamechoka full kulala kwa hiyo hapa unapoteza energy tu
 
Owkey..mfano sitaki utamu wake mimi nataka niwe naye tu kwa uhusiano unaolenga kwenye ndoa ,so nisipomhudumia nakuwa sahihi si ndiyo??
 
Exactly walengwa wako busy kumake things happen humu vimejaa vivulana na los3rs wanaojiconsole na mitandao ful life la kuungaunga

Ndo hivyo mumy we pata picha watu unawajua wanavyokuwa busy hata muda wa kula hana itakuwa mtu ambaye 24/24 yuko jf what do you expect?
 
Badala ya kunung'unika muende mkatafute hela ili muwahudumie wapenzi wenu. Nimetaja tu swala la K kama mfano. Point ni kwamba wanaume wanawaza kuwatumia wanawake tu bila kujali matunzo. Mtaandamana lakini mwisho wa siku nimesema ukweli.
 
Badala ya kunung'unika
muende mkatafute hela ili muwahudumie wapenzi wenu. Nimetaja tu swala
la K kama mfano. Point ni kwamba wanaume wanawaza kuwatumia wanawake tu
bila kujali matunzo. Mtaandamana lakini mwisho wa siku nimesema
ukweli.

darling-tone at her best!!!
 
Last edited by a moderator:
Owkey..mfano sitaki utamu wake mimi nataka niwe naye tu kwa uhusiano unaolenga kwenye ndoa ,so nisipomhudumia nakuwa sahihi si ndiyo??

Unapaswa uoneshe kujali kwa kutoa huduma kama hizo hata kama ni ndogo ndogo. Utamu una maana nyingi....ile kufurahi kuwa nae hata bila sex ni utamu pia, kwanini uone fahari kuwa nae ni kwasababu anakupendeza na hivyo wewe pia chaangia kumpendezesha
 
Ona sasa akili za hawa dada zetu na mama zetu tabu tuuuupu! wamejikalia kusubiri kupewa...ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa hovyo hovyo..kweli wengi wenu majanga...tutawachezea mkileta ugogo tunasepa! ptuuuuuuuuuu

Wanawake wengi wako hivi. Hawatakwambia kamwe ila ndio walivyo. Jiulize wanachumbia wawili, mwenye hela na mhongaji na asie na hela na hahongi......mara nyingi mwenye hela anakubaliwa na wewe unaeneza injili ya maneno badala ya vitendo unaachwa.
 
Unapaswa uoneshe kujali kwa kutoa huduma kama hizo hata kama ni ndogo ndogo. Utamu una maana nyingi....ile kufurahi kuwa nae hata bila sex ni utamu pia, kwanini uone fahari kuwa nae ni kwasababu anakupendeza na hivyo wewe pia chaangia kumpendezesha

Kama ndiyo hivyo basi ungesema ishu iwe ya pande mbili. Inamaana yeye haoni fahari/raha kuwa na mm? Basi naye aniletee vizawadi..akiona shati zuri aniletee..directly nami nitajifunza kitu kutoka kwake hata kama sikuwa na lengo/wazo hilo. Kwanini mwanamke aweke dhana ya kwamba yeye ndiye anatakiwa kupewa vitu/zawadi/matunzo. Yaani utunze girlfriend??
 
Wanawake wengi wako hivi. Hawatakwambia kamwe ila ndio walivyo. Jiulize wanachumbia wawili, mwenye hela na mhongaji na asie na hela na hahongi......mara nyingi mwenye hela anakubaliwa na wewe unaeneza injili ya maneno badala ya vitendo unaachwa.

Halafu siku nyingine akikutana na mwenye pesa zaidi..anahamia huko sio?
 
Kama ulisoma vizuri post yangu kuna mahali nilisema wanawake wasibweteke. Maana yake ilikuwa hii
 
Daah! umetisha mkuu. hilo nalo neno. unakuta m2 anakumucha 2 lakin hakuhudumii chochote. na mbaya zaidi bado anashindwa kuamini kama wampenda na kuanza kukuhisia vi2 vya ajabu. mambo mengine mnaya7babisha wenyewe wanaume halafu mnabaki kutulaumu.
 
Kama ulisoma vizuri post yangu kuna mahali nilisema wanawake wasibweteke. Maana yake ilikuwa hii

"Na wanawake sina maana mbweteke tu, siku moja moja kwa hela zile zile unazopewa waweza zitumia kumtafutia hata kizawadi jamaa yako ili walau aweze kuona nae anajaliwa. Wanasema ukila na kipofu usimshike mkono"

Hiki unachokisema hakiwezekani...say ana gari anaweka mafuta..amepanga nyumba nzuri..ila pesa ya kuninunulia zawadi asubiri niliyompa mm ndiyo anunue..kama ishu sio kubweteka pia atoe yake ya jasho lake aninunulie nami sio kusubiri za jasho langu ndio aninunulia..huko ni KUNIPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA. Pesa yangu ile ile eti leo niletewe shati nifurahi si bora nikanunue mwenyewe.
 
Nilimaanisha ikishindikana kabisa hasa kwa wale wasio na kipato basi kwenye zile zile wachukue wanunuepo vizawadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…