Nakuru women decry rise in sale of illicit brews

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
Wakenya bana, wao kila siku ni pombe tu kiasi kwamba hata polisi wanashindwa kupambana na Polisi kila siku wanapambana na watengeneza pombe za kienyeji. Kuna siku wakenya walikufa sijui walikunywa pombe aina gani. Wakenya walevi sana, ili Afrika Mashariki iendelee, inatakiwa tufanye kazi zaidi kuliko kushinda tunapiga Mitungi.
Polisi imefika wakati wawapige risasi wote wanaotengeneza pombe za kienyeji Kenya. Vinginevyo itakuja iwe Nchi ya walevi.

============================

ILLICIT-BREW.png

Women at Kamara Ward in Kuresoi North Sub-County of Nakuru County are up in arms over the rising sale of illicit brews in the area.

The women lamented that youths have dropped out of school due to consumption of illicit brew, despite the president’s directive to fight the menace.

Sarah Terer and Rose Kipkogei, some of the women, told Citizen Digital that most youths are engaging in illegal logging and production of illicit brews, especially at Mau, Kiptenden and Total areas.

Chanzo: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom