Nakuru All Star waipa kichapo Simba FC ya Tanzania

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,237
50,404
Vijana wa Nakuru All Stars (ambao hawana sifa sana Kenya) wameigaragaza Simba FC timu yenye mashabiki sana Tanzania yote, ushindi huo wa 5-4 umepatikana kwenye mikwaju ya penalti, hiyo baada ya kutoka sare tasa kwa muda rasmi wa mchezo dakika 90
Sammuel999 Hapo Nakuru mnawalisha nini hawa vijana na ni akina nani.
--------------------------------------------------------------
Kenya’s National Super League (NSL) side Nakuru All Stars pulled off a shock win over Simba SC, displaying some steely nerves to edge out the Tanzanian giants 5-4 on post-match penalties on Tuesday at Dar es Salam’s Uhuru Stadium.

The Super Cup clash had ended in a barren stalemate in regulation time, forcing the tie to be decided in the shootouts and it is the All Stars that kept their composure as they became the third Kenyan representative at the inaugural competition’s last four.
Of the ten spot-kicks taken on the evening, only that of Simba’s custodian Daniel Agyei missed the target to deny the Wekundu wa Msimbazi in the cruelest of fashions.

Agyei skied his effort on Simba’s second attempt with their rivals All Stars converting all of their own.

The Nakuru-based All Stars, who sit sixth in the NSL, will now face Kenya’s 15-time Kenyan Premier League (KPL) champions Gor Mahia FC who sailed through earlier in the day by sinking Zanzibar’s Jang’ombe Boys 2-0.

Another semi final will see Kenya’s AFC Leopards lock horns with Tanzania’s Yanga SC, who qualified on Monday.

Both semi finals will be played on Thursday.
 
Kadoda11 alinitishia upande ule wa Battle ya Nai vs Dar, sahi sijui atasema nini!! Mimi mwenyewe nilikuwa nikijua Simba itashinda!! Miaka mingi nimejua Simba na Yanga, sikutarajia Nakuru iwatoe kwenye ligi
 
Siyo penalt 5 kwa 0 banaa...penalt zilipigwa 5 ambapo simba ilifanikiwa kupata 4 na Nakuru walipata 5 zote
 
Wazee wa points za mezani. Hapa ni mpira uwanjani, hakuna kamati ya saa 72
 
dah! Simba walitoa wachezaji kutoa kikosi cha pili naskia...yaani ni kama dharau...ila ni vizuri wamepata walichokitfta...
 
Sikutegemea kama haya mashindano yana uzito mkubwa namna hii. Hadi habari inasema "Nakuru All Stars pulled off a shock win over Simba SC" ! Is this really a shock?
 
1. Daniel Agyei
2. Besala Bukungu
3. Jamal Mwambeleko
4. Masoud Bakari
5. Yusuf Mlipili
6. Feston Munezero
7. Mwinyi Kazimoto
8. Mohamed Ibrahim
9. Athanas Pastory
10. Juma Liuzio
11. Jamal Mnyate

Wengine wapo Misri kwenye kambi ya Taifa Stars ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom