Nakupongeza Rc Makonda

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Nakupongeza Rc @paulmakonda
Kwa marayakwanza Leo ndio nasubutu kukupongeza ktk ukurasa huuu
Kaziunayo ifanya inaonekana hasaaa
Kwani hakika tuna poteza nguvukazi ya vijana ktk swala ili lamadawa ya kulevya
Naniombe wanao msema kwamabaya @paulmakonda kisa anawashika mastar wakubwa
Hakuna alie juu ya sheria kila mmoja yupo chini yasheria nanaapo kusea atahukumiwa kama wengine watakavyo fanywa
Hakuna kuangalia anajina gani Tanzania
Kwasababu kwa miaka mingi sasa watu wametumia
Majina yao na hadhi zao kupitisha kuingiza haramu Tanzania wakijua hakuna wakuwa gusa kutokana na hadhi zao
Kwahili la @paulmakonda kuwasweka lumande
Imeleta heshima. Kote Tanzania
Nafundisho kuwa kila mtanzania alie Tanzania ataishi kwa muhimili wa Tanzania nasivingine. . Mkuu wa dsm
Niiombe chama. Pinzani kuweka mbaali siasa katika hili kwani jambo hili nilakizalendo na si lakisiasa
Tafadhali muachieni mkuu anyooshe ipasavyo

Ombi langu kwako mkuu wamkoa hakika hao wote ulio watia adabu wanao wano waweka mjini nandio
Wanao walipa nakuwapa kiburi sasa nivyema wakakamatwa nawao wapo vigogo wakubwa wanao watumia
Wasanii wetu ktk hili hakika wapo nivyema ku deal nao pia
Kwani wao ndio sorse ya ujangili huuu
Hongera mh najua watakutisha kukukatisha tamaa lakini mungu atakulinda
Kwani ulipo gusa nihatari nanyeti sanaaa Rc @paulmakonda
Kila lakheri
5d551b9e70f391fe98565b71b97285f1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom