Ni muhimu kumuongezea JK kipindi kingine cha miaka 5.
Nafikiri wanaJF MNANIUNGA MKONO. jk HANA 100% LAKINI KAONYESHA MIPANGO YA MUDA MREFU ya nchi yetu.
Naamini anazo , ndiyo maana mie nazidi umwamini kwamba anazo na nimeomba azimwage badala ya kusema wana JF hawapendi takwimu. Lete ngoma hapa mie nangoja
Haya mambo ya kushikana mikono wanaume yana hatari zake ,any way kwa baadhi ya watu tukiangalia hii picha ya waheshimiwa inatukumbusha mengi mengine hayasemeki Raisi awe muangalizi siku hizi wabaya wake wanatafuta vijisababu tu vya kum zalilisha.