Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,385
- 100,492
leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?
Haaaaaa! Mmmmmmmh!
Unaguna nini shost? Yote umeyataka wewe kutwa watu hatupumui humu....Matola...Matolaaa...
Ndo tunalipiza hata sie tunao mahubby humu jf...
Heheheee....kantangazeee......
Nikisutwa Dinazarde atakuja kunisaidia...!
Mtaje jina asije kua ni mme watu
Habari!,..
Nina Furaha Sana sanaaa na Naishukuru kipenzi changu Jf!!.Imenipatia Mme Kipenzi,laazizi anaejua nini thamani ya mwanamke!!.anaejua kujali na kupenda kweli...najisikia kupendwa,najiona mwenye bahati sana.
trust me,jf kuna wanaume wazuri sana waojua kupenda na kuwa na relationshp nzuri!!.
to yo >hubby najua umepasoma hapa,nataka ujue i love u more than yesterday..ur the reason i smile everyday,ur special hubby,love me more nizidi kupagawa!!.
mahaba ninyongeee mieeee!!,nikafie mbali kwenye kifua cha @_____ __,love u nyang'anyang'a!!.
mnaotafuta hapa wapenzi,msijali mtapata tu,na mlopata hongereni! lolz.....
leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?
Hahaaaaa! Mtu chake yakheeeee! Nimekolezwa!
Haaaaaa! Mmmmmmmh!
Hahaaaaa! Mtu chake yakheeeee! Nimekolezwa!
hhahahhshahaha.baaabek!Nashukuru kwa kua umeweka wazi hata kama wanafiki mmeanza kutokwa na mapovu na kupaliwa ndo hivo ishakua mtoto kakubali kua na Gentleman hataki Ma boy wanao lialia , asante kwa heshima hiyo nami naahidi yafuatayo
Unaguna nini shost? Yote umeyataka wewe kutwa watu hatupumui humu....Matola...Matolaaa...
Ndo tunalipiza hata sie tunao mahubby humu jf...
Heheheee....kantangazeee......
Nikisutwa Dinazarde atakuja kunisaidia...!
Nashukuru kwa kua umeweka wazi hata kama wanafiki mmeanza kutokwa na mapovu na kupaliwa ndo hivo ishakua mtoto kakubali kua na Gentleman hataki Ma boy wanao lialia , asante kwa heshima hiyo nami naahidi yafuatayo
Chuki mchukie moyo wake mwachie