Lakini ni ugonjwa wa moyo piaMapenzi ndio yapo duniani
Hahahhaaa....Mbona unazunguka sana, si uombe tu hela.
Ugonjwa wa moyo hautokushika kama unapendwaLakini ni ugonjwa wa moyo pia
Sio ukweliHahahhaaa....
Tarehe za miamala hizzii...
Dah..
Kuna watu wajanjaa...
Na hapo lazima kash itumwe
Omba hela usichelewe....!!Sio ukweli
Na hajatajwa mtu hapo, kila atakae jichanganya ataambiwa ni special kwaajiri yake. Mnajikuta watu 15 mmetuma!!!!Hahahhaaa....
Tarehe za miamala hizzii...
Dah..
Kuna watu wajanjaa...
Na hapo lazima kash itumwe
Kwani penzi lina harufu au rangi niweze kukuamini?? Penzi humea popote na kwa wakati wowote hivyo nalo huzimikia popote na wakati wowote bila taarifaUgonjwa wa moyo hautokushika kama unapendwa