La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 737
- 1,358
- Thread starter
-
- #21
hapana usikaririHuo mchanganyiko tayari unatengeneza sumu mwilini
Basi nataka za kinyume chake zipoo?inapunguza mafuta mwilini kupungua lazima
Sumu gani?Huo mchanganyiko tayari unatengeneza sumu mwilini
Mdogo angu mwachiluwi mzima weweuna weza jilinda kwa hiki ukaja kupata ukimwi all in all mlinzi pekee ni Mungu tu kwenye kila kitu
poa vip hapoMdogo angu mwachiluwi mzima wewe
Nakusalimia salamaleko
sasa si ndio ukweli kuna vitu huviwezi kwa nguvu zako haswa inapo kuja swala la afyakabishi haka basi usijishughulishe na kazi yoyote subiri akuletee mahitaji yako
NYC to hear 😁 thatpoa vip hapo
Sumu gani?
hapana usikariri
means unataka kunenepaBasi nataka za kinyume chake zipoo?
kikombe kimoja asubuhi tuOkays sawa tuseme siyo sumu, unakunywa kiasi gani kila baada ya muda gani?
Hakuna mchanganyiko wowote wa vyakula huwa unageuka kuwa sumu.Huo mchanganyiko tayari unatengeneza sumu mwilini
kwa wale wadada wanaopenda kuwa na ngozi nyororo kuglow hiyo inasaidiaNaomba uorodheshe faida zake
I'm inkwa wale wadada wanaopenda kuwa na ngozi nyororo kuglow hiyo inasaidia
kupunguza mwili
kusafisha kizazi na kuondoa ukavu wa uke
faida ni nyingi sema mie mvivu kuandika
karibu ulete mrejeshoI'm in
mmm vivyo ni viungo tu vya chakula kama viungo vingineHuo ni mchanganyiko wa biochemicals ambazo hajizapimwa ukubwa (volume) na shinikizo (concentration) yake
viungo vya chakula hivyo sumu inatokea wapmix nyingine ni sumu hivyo muwe makini .
anyway nina kitabu chA TIBA NIMEANDIKA HAPA
Dini rasmi inaitwa the Omnitheistic Singularity jina la Mungu na kitabu kikuu ni Omnipotent Singularity. Imeandaliwa na IIT