La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 737
- 1,359
Vp inakupa guarantee ya kukwepa kifo?asubuhi chemsha
tangawizi
binzari manjano
mdalasini
karafuu
rosemary
ikisha iva weka katika kikombe kamulia limao kiasi weka na chumvi kidonge kimoja ile ya baharini kunywa tumbo likiwa tupu usile chochote mpaka mchana
fanyahivyo kila siku
kaambali na vitu vyenye sukari kwa afya yako
utakuja kunishukuru
kwa afya nasi vinginevyoVp inakupa guarantee ya kukwepa kifo?
babu yupi hebu dadavuaAfya ya babu au?
katwange mlonge kunywaVipi inaongeza CD4 kwa sisi waathirika?
Au lengo ni kutuua
hapo kila kimoja kinafaida zake na kazi yake so katafute dada usiwe mvivu kuipambania afya yakoNaomba uorodheshe faida zake
Sitaki faida za kuambiwa na chatgpt, nilitaka uniambie faida ulizozipata wewe binafsi.hapo kila kimoja kinafaida zake na kazi yake so katafute dada usiwe mvivu kuipambania afya yako
Jamani huu mchanganyiko haugeuki kuwa sumu mwilini?asubuhi chemsha
tangawizi
binzari manjano
mdalasini
karafuu
rosemary
ikisha iva weka katika kikombe kamulia limao kiasi weka na chumvi kidonge kimoja ile ya baharini kunywa tumbo likiwa tupu usile chochote mpaka mchana
fanyahivyo kila siku
kaambali na vitu vyenye sukari kwa afya yako
utakuja kunishukuru
kumtegemea mungu pekee bila juhudi zako???una weza jilinda kwa hiki ukaja kupata ukimwi all in all mlinzi pekee ni Mungu tu kwenye kila kitu
hapana nimzuri sanaJamani huu mchanganyiko haugeuki kuwa sumu mwilini?
Huo mchanganyiko tayari unatengeneza sumu mwiliniasubuhi chemsha
tangawizi
binzari manjano
mdalasini
karafuu
rosemary
ikisha iva weka katika kikombe kamulia limao kiasi weka na chumvi kidonge kimoja ile ya baharini kunywa tumbo likiwa tupu usile chochote mpaka mchana
fanyahivyo kila siku
kaambali na vitu vyenye sukari kwa afya yako
utakuja kunishukuru
mbona kuna mda ana fanya bila ya mimi kuweka juhudi?kumtegemea mungu pekee bila juhudi zako???
Haikondeshi? Maana sie wengine tayari tunapeperushwa na upepo.hapana nimzuri sana
kabishi haka basi usijishughulishe na kazi yoyote subiri akuletee mahitaji yakombona kuna mda ana fanya bila ya mimi kuweka juhudi?
inapunguza mafuta mwilini kupungua lazimaHaikondeshi? Maana sie wengine tayari tunapeperushwa na upepo.