mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Daresalaam Leo jua kali..Tafuta sababu ingine
Nenda kamgonge ww huyo ni wako si unakumbushia tu. Ila usisahau K Y akikukuta mwenye mali
asisahau waaaat??!..hahahahahahaha dah
Lala nyumbani kwako usimpe sababu ya kukublackmail baadae. Usiku mwema.UPDATE:
wakuu dakika 3 zilizopita yaani ilikua saa 3:07 amenipigia tena simu kutaka kujua kua nitaenda au laaa nimemuambia kua nimetoka na nitachelewa kurudi kaniambia hata nirudi saa 6 usiku basi niende na nisipoenda basi atajua yeye la kufanya
Yaani niko home kwangu nimeshajibwaga kitandani kupuuzia huu mchezo mchafu niombeeni nisikose ujasiri