Nakumbuka...

Mentor una kipaji lakini unakikalia .
Una uwezo mkubwa wa kuandika masimulizi tumia kipaji chako kupata fedha.
 
Mentor wewe ni muandishi mzuri na umejiitahidi ila kwenye hii kuna baadhi ya sehem chache umeenda chaka
 
Cyo kizazi hichi watu wanaishi kwa madili subir halaaaaali uone vumbi
 
Mkuu kweli huyo Mdada ambaye sasa ni Mmama bado yupo na mpaka sasa anaendelea na uaminifu wake.

Unamfahamu?

Mentor wewe ni muandishi mzuri na umejiitahidi ila kwenye hii kuna baadhi ya sehem chache umeenda chaka

Correct me please...!

I don't create stories from the air brother la sivyo ningekuwa nimefikisha hadithi mia. I write what happens in the real world; my own stories and others' narrations to inspire, teach and warn my readers.

Correct me where you think nimeenda chaka...
 
Eweeeeee
Mwenyez mungu nenda bariki matokeo yng ili namm niweze kuhitimu shahada ya kwanza mwaka huu
 
Hivi lile shairi last verrosa ilikuwa true story?
 
Nimesoma andiko lake moja tu ila lilinihuzunisha sijui ni kweli au story ilikua
 
Very inspirational. Nikiwazia wengi tunavyopenda short cut na uvivu on top.. Mungu atusaidie
 
Very inspirational. Nikiwazia wengi tunavyopenda short cut na uvivu on top.. Mungu atusaidie

Kwa ninavyokufahamu (at least kwa hapa JF) unafanana sana na huyu binti.

Ubarikiwe..na usikate tamaa!

"..sijawahi kuona mwenye haki ameachwa..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…