mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,580
- 2,990
Mentor atarudiNimeisoma yote ila sijaona funzo la moja kwa moja kutoka kwa dada zaidi ya kutumia muda mrefu kupata mafanikio ambayo wenzie waliyapata ndani ya muda mfupi bila kutumia jasho,ilitakiwa utuoneshe side effect ya walionunua mitihani either walidisco au walifukuzwa kazi,ila kama wakaendelea kula bata mpaka Leo tena Mara nyingi zaidi ya binti mbona poa tu,na yule mhasibu kapiga milioni 20 na kaendelea kudunda Mara nyingi zaid ya binti aliyeenda kuteseka zaid akitafuta CPA Huku wenzie wakila bata,MPE pole mwambie maisha ni akili tu na the way unavyozichanga kama masamaki,maisha yenyewe mafupi....kwahiyo hapo kufundisha Moshi ndo kilele cha mafanikio au??
Nimeisoma yote ila sijaona funzo la moja kwa moja kutoka kwa dada zaidi ya kutumia muda mrefu kupata mafanikio ambayo wenzie waliyapata ndani ya muda mfupi bila kutumia jasho,ilitakiwa utuoneshe side effect ya walionunua mitihani either walidisco au walifukuzwa kazi,ila kama wakaendelea kula bata mpaka Leo tena Mara nyingi zaidi ya binti mbona poa tu,na yule mhasibu kapiga milioni 20 na kaendelea kudunda Mara nyingi zaid ya binti aliyeenda kuteseka zaid akitafuta CPA Huku wenzie wakila bata,MPE pole mwambie maisha ni akili tu na the way unavyozichanga kama masamaki,maisha yenyewe mafupi....kwahiyo hapo kufundisha Moshi ndo kilele cha mafanikio au??
Mentor atarudi
Umemaliza mkuu1. Maisha si mashindano. Inspire people by God's blessings on you due to your faithfulness to Him not on others' failures.
2. Wengi wa hao watu ndio hawa waliokuja kukamatwa wakati wa utawala huu wa awamu ya tano.
3. Uzuri wa jasho lako ni unalila bila hofu. Unakuwa na amani. "Hakuna pesa tamu kama ya jasho yako"
4. Hao waliozichanga kimjinimjini ndio waliofanya taifa lifikie hapa lilipo.
5. Tatizo la binadamu tunapenda kujipenda/kujifirikia wenyewe tu.
Ha ha ha kwa nn mkuu?Mentor ni JIPU
Iwe ni kusadikika au kufikirika...kwa mtu mwenye tuakili hata tuwili tu kajifunza kitu..KUSADIKIKA - By Shaaban Robert
Ubarikiwe,....injili imewafikia wengine wengi...........Mmmh hujui tu ulivyonitia nguvu.... "Sijawahi ona mwenye haki ameachwa".
Utapitia magumu mengi, unaweza kupoteza vingi, but Mungu hatokuacha kamwe. Na baada ya yote hayo kwisha, Mungu atakurejeshea enzi yako, na mamlaka yako, na kila kitu chako ambacho mwovu alikuibia kitarudishwa maradufu . Kuwa mwaminifu kwa Mungu katika hali zote si kazi ndogo (mfano kwa Ayubu), but thawabu yake ni kubwa mnooo
" Nami Nitawarejeshea hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu na tunutu". Yoeli 2: 25