Nakumbuka nilivyoikimbiza gari ya Jakaya Kikwete kilomita 30 kwa miguu alipokuwa Rais

Kwenye maisha Kuna mambo mengi Sana Tunayapitia yakufuraisha na kuhuzunisha

Katika Maisha yangu nimejifunza kua Kuna Mengi Bado ya kujifunza na pia nimejifunza kua changamoto Hua nyingi kuliko Hamasa

Nakumbuka Mapenzi yangu yalivyo kua kwa kikwete Enzi izo bado ni Rais. Nakumbuka nilijitoa Sana kama kijana kwenye Ccm nilipambana sana

Lakini toka alipoingia Rais Magufuli mambo yakabadilika viongoz wote Tulio kua Tunawaamin Enzi za mh kikwete Bado Rais wakaanza kutupofusha na kumchafua mzee kikwete mpaka chama Tulicho kiamin kama Umoja wetu kikaanza kuongea Maneno Mabaya juu ya Mzee kikwete na kupelekea kutupandikiza chuki juu yake

Ila wahenga walisema siku zote ukwel utabaki ukweli tu Leo nimeona Taswira ya nchi yetu ilivyo uku ukwel ukiwa kwamba Mazur haya yanachangiwa na mawazo machache ya mzee wetu

Naomba mzee wangu unisamehe sana kuanzia Sasa narud kambin Rasm na Ccm itanabaki ku shine tu mungu akulinde Baba
Kikwete naye aliharibu nchi sana. Ufisadi, kutowajibika na uzembe vilikuwa ndiyo sera yake. Tuombe Mungu tusirudi tena kwenye lile giza.
 
Nchi ya Tanzania inatakiwa isali sana ili apatikane Rais Mwingine mithili ya Dkt John Pombe Magufuli
 
Back
Top Bottom