Nakumbuka nilivyofedheheka

Khaa! Mkuu mbavu zangu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duh! Watu wana kiu utadhani wamelishwa vumbi. Nanyi tungeni zenu basi. Mapovu tu. Stori hapo ndio mwisho, unless nishawishike beyond reasonable doubt kuwa hawa wanaotukana wanakiri makosa yao
 
Ndio uache mizuka ya kutongoza asubuhi kisa abdala kichwa wazi kasimama dede
 
Endeleza story mkuu,kwa heshima ya sisi wengine ambao tunafatilia.
 
Mkuu endeleza story la sivyo mimi ntaendeleza, na nikiweka zile script za Head Boy alivyokukuta umelala kwenye deka kama Ben Pol, usinilaumu
 
Mkuu endeleza story la sivyo mimi ntaendeleza, na nikiweka zile script za Head Boy alivyokukuta umelala kwenye deka kama Ben Pol, usinilaumu
Hahahaaaa... Em niwekee episode moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…