nakumbuka harusi ya Sinza Delux

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
kama kawa wambea zetu kukaa karibu na mlango ili wanaoingia na kutoka tuwaone_mpango mzima ulianza wakat wa maakul ambapo mc aliwataarifu wajumbe kuwa sasa mtumish wa Mungu alikuwa anaingia ukumbin kufikisha injili kwa njia ya uimbaji_ghafla akaingia ndugu moja anatambaa, ni mlemavu wa miguu na ni kipofu pia_mshikaji alicheza masong kwa hisia ya hatar huku ameshikilia bible yake na kufanikiwa kujazakapu la minot including mwekundu wangu_masong ya akina Solomon mkubwa na wengine kibao, alivomaliza wakat wa kutoka akanigusa mguun na kuniomba nimtafutie chobingo asikilizie sikilizie_akaniomba nimuombee kinywaji, hapa ndo alinivunja mbavu_nikamuuliza soda gani, mshikaji akasema akasema kwa saut ya kichungaji_SAFARI BARIIIID, sikuamin_nikamuuliza tena jama akajibu vile vile_mshikaj alipiga kinywaj acha mpaka watu kidogo waombe hela zao kwsbb walijua mshikaj sio mchungaj wala nn _haya wale wameo wah kuhudhuria kumbi nyingine kama saba saba(saida karol wa magumash) na kwingine leten michango!
 
Back
Top Bottom