Nakumbuka bwana Putin alivyojifananisha na Peter The Great

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Wakati anasomwa mchezo na kakalia miji kadhaa kadhaa ya Ukraine.

Kama kawaida yake na mbwembwe nyingi alinukuliwa akitolea mfano jinsi Peter au Pyotr the Great alivyouchukua St Petersburg kutoka kwa wa Sweden akibainisha akuteka ila alichukua kilichokuwa cha kwake.

Hivyo SMO ni anachukua vya kwake phase ya kwanza akichukua Donbass Kharviv mpaka kufika Odessa kisha anyakue Mashariki ya Mordova. Phase ya pili aimalizie Kyiv kabisa na ikiwezekana na Poland.

Miezi inaenda General wa Vita wanauliwa na kukamatwa, Vijana wanatoroka mapambano mpaka wanawatumia Chechen kama MP (kujaribu zuia Mutiny).

Yeye mwenyewe anaonesha Dalili zote za Parkinson ambazo wameshindwa hata zidhibiti kwenye TV zao.

Warusi wa Tandika, Buza na viunga vyake wameanza kupoteana JF wakibaki kulialia na kuomboleza na kuhamia habari za Putin kugawa mbolea kaya masikini na mazoezi yasiyoisha na Shule kufunguliwa (ni kweli lazima wafungue Shule ili wapaache kama walivyopakuta kukwepa msala kuwa mzito).

Sisikii tena habari za Waukraine kuuliwa 1200 ndani ya siku moja ya Counter offensive nachokiona miji inakoombolewa kuanzia kaskazini mpaka kusini.

Huku shinikizo la kumuita Putin Msaliti na Mhaini likizidi kupanda Joto viunga vya Moscow.

Bye bye Putin
Udhamini wa
"Na log off Z" na Mwenzie "nonsene"

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom