mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.
Hivi nakumat na uchumi ni dugu moja? Sielewi hapo?
Sent from my iPad using JamiiForums
Nakumatt ndo wamiliki wa Uchumi
Nakumatt ndo wamiliki wa Uchumi
siyo kweli hii umeipata wapi wamiliki wa Uchumi wapo kama sita pamoja na wizara ya biashara ya Kenya na kina Jamal, Nakumatt ya Shah.Nakumatt ndo wamiliki wa Uchumi
Hilo jina ukitoa herufi za kwanza na za mwisho linakuwa na maana mbaya.
Hilo jina ukitoa herufi za kwanza na za mwisho linakuwa na maana mbaya.
Tks mkuu. Nasikia raila o ndo mmiliki. Ni kwei? Sijui na ss tanganyikans lini titafungua sokobora Nairobi.
Sent from my iPad using JamiiForums
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni
kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es
salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina
uhakika.
Rais Uhuru ndie mmiliki.
Wasije lazima aharakishe kuleta masupamaket kwetu, kwao haendi mtu kwa uoga wa alshabaab. Wasije wakafuatwa tu kwetu.