Nakumatt Supermarket: Mwisho wa kuchukua sukari ni kilo tano

hili si swala la kuchekesha tunamfata Mugabe kidogo kidogo...IMF watakuja na report zao kama za TWAWEZA kuwa Uchumi unakuwa kwa kasi na % ya juu kabisa...
 
Na yale yaliletwa na kasumba ya "zidumu fikra za Mwenyekiti" hakuna kukosoana.
Sasa tabia ile imerudi "zidumu fikra za jamaa" ukikosoa wewe adui. Yalianza tararibu wakati ule, na sasa yanaanza taratibu
Hii issue ya sukari hakika inanishangaza sana , kwa mfano tangu nipate akili kule kwetu kyela baada ya RTC'S kufa kibudu , sukari nilioiona mpaka dk hii ni sukari kutoka malawi , shortly ni kwamba hakuna mwananchi wa kyela anayetumia sukari nyingine zaidi ya sukari ya malawi , Mh Mwakyembe kama ni mcha Mungu anaweza kuthibitisha hii , na nakuhakikishia kama Dr Magufuri alikunywa chai kyela wakati wa kampeni , basi bila shaka alitumia sukari ya malawi .

Kwahiyo basi , kupiga marufuku sukari kutoka nje ni kuhakikisha kwamba watu wa kyela wanakunywa uji wa chumvi .
 
Kipindi Mzee Kaunda akiwa Raisi wa Zambia bei ya Unga wa Sembe na Mkate vilipanda bei,kilichotokea baada ya hapo mpaka leo imekuwa historia kwa chama cha UNIP.
 
Ndio tatizo la kutumia hisia bila kufanya tafiti.

Wengine tunategemea waishi KISHETANI kuanzia mwezi WA 7. Sijui hizi kauli zinatoka wapi kuwatakia watu waishi KISHETANI. Mungu anataka watu wote waachane na IBILISI Huyu yeye anataka waishi KISHETANI
 
Wengine tunategemea waishi KISHETANI kuanzia mwezi WA 7. Sijui hizi kauli zinatoka wapi kuwatakia watu waishi KISHETANI. Mungu anataka watu wote waachane na IBILISI Huyu yeye anataka waishi KISHETANI
Hivi ukiwatawala mashetani wewe unayewatawal utaitwa nani?
 
Kipindi Mzee Kaunda akiwa Raisi wa Zambia bei ya Unga wa Sembe na Mkate vilipanda bei,kilichotokea baada ya hapo mpaka leo imekuwa historia kwa chama cha UNIP.
mkuu upo sahihi kuhusu ilo ila kwa Tanzania ni ngumu mambo mengi yanafanyika watu wanachukulia poa tuu wewe kwa Nchi kama Tanzania inatoa dhahabu,Almasi na Tanzanite halafu hatuna Sukari iyo inaingia akilini kweli mitambo mikubwa ya Madini ni rahisi kuja ila mitambo ya kutengeneza sukari ni ngumu kila siku tujadili sukari ya nje...
 
TATIZO TUNAMIZUKA MINGI
BY SUGU
 
Serikali ya jpm ilikataza sukari ya nje ili viwanda vya ndani vinufaike ni jambo zuri alifanya baada ya kuhakikishiwa demand will meet to consumers.
Ajabu imegeuka sukari imekuwa bidhaa adim km haipatikan masuper agent wamefungia ndani iadimike wauze ghali kwa faida zao.kweli hawa matajir ndo mana ht akigonga nyanya sokoni halipishwi bali anapondwa had afe.matajiri wana rohombaya sana ingawa me tajiri pia
mkuu,nirushie hata mfuko mmoja wa 25kg basi,Nitakulipa mwisho wa mwezi!
 
Kwahiyo ikifika hiyo hali kwako itafaidika au itakusaidia nini.. UTU hauna vyama, waza kama kama mwanajamii.. Hii ndio Demokraia hakuna aja ya kua na kisasi
mie sina utu mbele ya c.c.m na wana c.c.m,walicho kifanya zenji,kimenifanya utu wangu niuweke pembeni hasa ninapodili nao,
 
Uamuzi wa JPM ni sahihi. ..hapa tupo kwenye mchakato wa mabadiliko...

Tulieni dozi ya HAPA KAZI TU ifanye kazi
 
swali kubwa la kujiuliza ni kwanini sukari iwekewe limit...ina maana hata wauzaji wa rejareja nao wanaipata kwa shida....kwanini tu sukari imekuwa dili sana? hivi kuzuia sukari ya nje kuingia ilikuwa ndio solution pekee ya kulinda soko la ndani......somo la economics kuweka quota au kuzuia bidhaa kutoingia kabisa lazima hupandisha bei za soko la ndani...mimi nadhani serikali ijipange zaidi kuliko kuropoka ropoka mambo.....kama mimi ni mfanya biashara nilikuwa na stock ya sukari nimenunua kwa 1800 tsh kwa bei ya jumla sasa nikiambiwa niuze kwa bei hiyo hiyo sitokubali as tayari nimelipia usafiri,wafanyakazi kushusha na kupandisha mizigo....serikali haikupaswa kukurupuka katika swala hili
 
Tatizo Mizuka

By Sugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom