Nakuja na swali kwa dada zangu 40+

Nakuja na swali kwa dada zangu 40+

Nafikiri we ni mtoto wa kiume,tena huenda hanithi.
Hilo swali ulokuja nalo hapa jukwaani,uliwahi muuliza mama yako mzazi? Kufikia umri huo,na yeye hedhi hana, na hamu ya mtarimbo ilipungua. Kwanza mshauri arudi kwao. Uliwahi muuliza kwa nini bado analala chumba kimoja na baba yako? Akikubali,majibu uje utapata. Akigoma, muulize anataka nini tena,si keshazaa watoto mpo?
 
Ukikua utagundua mahusiano ni zaidi ya sex na kwamba kampani ya mke /mume sahihi ni muhimu kuliko unavyodhani.

Nawaambia kila siku hizi jinsia zinategemeana sana.Mwanamke anahitaji uwepo wa mume na mwanaume anahitaji uwepo wa mke...

Jiulize manji,barhalesa,Mo wanakosa nini mpaka wanaoa?????wanaweza kulala na mwanamke mzuri Kutoka nchi yeyote dunia kila siku sample mpya,lakini anachagua mwanamke mmoja wa kawaida anaoa sio wajinga.Angeweza kutafuta mwanamke wa kuzaa nae huduma zote anaweza kupata tena sio kwa mke sasa why wanaoa??

Huwezi kukataa umuhimu wa jinsia pinzani,nature itakuumbua.Ukiikataa ujana kipindi unahisi una kila kitu,uzeeni mwenyewe unaanza kutangatanga..

Utakuta kijana mi sikosi demu wa kupiga kwanini nioe atanijazia kiwingu tu SAWA mi sina shida ya k. Sawa,Nawagonga balaa sawa tunakusubiri uwamalize tukupe tunzo,ukigonga 40yrs unaanza kuwaza tofauti kbs kwanini sikuoa mapema.Tayari upo corrupted unaona wanawake wote malaya tu.

Mwanamke nae kapata pata vihela vyake basi na wowowo lipo,ana ka vits anajikuta kamaliza.Mimi mwanaume anibabaishi sawa kiburi kama chote,sawa,sisi tunagonga tuna pita vile,sasa ukigonga 40 ndo unaanza kuwaza hivi ningetuliaga na flani!,saivi natafuta mwanaume wa kueleweka nakuwa committed too late Mama.Probability zinakataa,probability zinakudondosha kwa wanaume wagongaji tu,wa maana wote wapo busy kusomesha...
 
Sisi Waswahili wa Vanga na viunga vyake mpaka Mrima, Pangani na pengine huwa funasema hivi :

"Hakuna Roho kongwe".

Ahsante.
 
Kuondoa Upweke, Kupata Kampani, Kukumbatiwa Usiku, Kupigwa mabusu motomoto Kila Asubuhi. Basi maisha yanasonga
 
Back
Top Bottom