Nakuja kwako, ila hatufanyi kitu 🀭

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,763
Reaction score
27,149
Ushawahi kupigwa huo mkwara? ilikuwaje kuwaje na je ulipewa au ulitoa tamu? au ulitoka kapa?

Acha nianze:
Kitambo hicho chuo tulikua kipindi cha mitihani, kaboyfriend kakaniomba niende room kwake nimpe mbususu nikasema siwezi, na nikamtolea povu kwamba hanijali mimi nina stress za kujiandaa na pepa yeye ananiletea mambo ya kudinyana. Akaomba msamaha siku ikapita.

Kesho yake jioni akasema anakuja hostel kwangu, hatutafanya chochote maana ana stress pepa yake imeenda vibaya. Nikamwambia poa, basi akaja, akawa yuko mnyonge kweli amehuzunika analalama kuwa anahisi ataSUP, mpaka nikawa namuonea huruma.

Tukawa tunaongea ongea, hajaomba mbususu wala nini, story za hapa na pale huku namtia moyo. Mara kwenye maongezi akasema, wala hajisikii kukulana ana stress sana hatoweza ila anaomba anyonye madodo kidogo atulie halafu ataondoka.

Na ujinga ule si nikamkubalia πŸ€¦β€β™€οΈ, nikamlaza mapajani vizuri, nikamuinamia, nikamuweka teteee mdomoni apunguze stress.



Arooooooooooh, aliyafonza madodo nikajikuta tu nimelegea vibaya, ghafla mkono uko kwenye kissmeeee unatekenya tekenya, hata sikumbuki ilikuwaje kuwaje nikajikuta nishalalia mgongo, anachomeka ukuni. Tulivyomaliza raundi ya kwanza, nikaona sijatosheka na room mate wangu anakaribia kurudi, tukavaa hao tukaenda gheto kwake tukulane vizuri.

Somo la leo:
  1. Haya mambo ya β€œnakuja ila hatutalombana ni uongo, mpenzi akija lazima kuna kikojoleo kitamezwa na mwenzake tu”

Alamsiki!
 
Huwa sipendi uzumbukuku nilimchana makavu tu ni bora asije gheto ninavipande kadhaa vya soap haina haja hata ya kwenda dukani "MOYO WAAANGUU UNA AMANI....MOYO WANGU, MOYO WAANGUU UNA FURAHA....MOYO WANGU, MOYO WAANGUU HAUNA KINYONGO....NASEMA RAAAAHA JIPE MWENYEWEeee.'' Hii ngoma ilinipa matumani zaidi japo ni nyimbo ya dini haikuendana na dhambi zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…