Nakuja Kijipyaaaaaaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakuja Kijipyaaaaaaaaaaaaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, May 27, 2011.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  naomba unapoweka verse sema ni kama wimbo wa nani vile.....

  Babu mwana wa Kahena(verse)

  Nile kama ndizi, nichane kama mic ni wewe wangu wa moyo...
  Mtoto umetanuka,umechanuka,umewaaaaaaaaa,
  Nitembelee kote kwangu eweeeeeeeee, kama buibuiiiiiiiii, mtoto baibuiiiiiiiiiiii...
  kusema kweli nimekudondokeaaa..

  nature chorus...

  Mtoto una hips hips kama shakilaaaa,ila kukuacha nitakilaaa,nipende mwana mnyonge mimiiii...
  Twendezetu tukajirushe rushe,kwenye maraha niwe mwenye zali mimiiii...

  Weka verse kama unaweza na chorus juuuu...

  Bongo fleva hahahaha
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahah lol

  sante Magu wangu
  naanza kunusa utamu wa w/end...

  Have a good one..
  God bless
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mmh! Huu usanii bado mie tu!
   
 4. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haya bana.....
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  mimi na bongo fleva hatuivi kabisa,
  mimi nipo kwenye taarabu!!!!!
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nimepita njia tu...
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  mwaka huu umekamatika great sinker!nice one..
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nyie watz mna kazi sana kuondokana na umasikini kudadadeki zenu.......vichwa vyenu WATZ vimejaa makamasi
   
 9. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Msalimie ndugu yako Mwakibaki na First lady wenu kama papai la kuvunda, Nyie wakenya mbona hamna lolote? mna nini? rais wenu chizi achilia mke wake......pua lako limejaa mavi au? sijui unafikiria kwa kutumia makario wewe?
   
 10. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mh jamani hii ya wapi tena
   
 11. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Safi, mtunzi namkaribisha club atumbuize.
   
Loading...