I itongo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 200 Reaction score 150 Feb 3, 2018 #21 Emma Simbo said: Kwa maana hiyo mikataba ilipokwisha walinyimwa kuongeza. Asante saana naendelea kuchukua taarifa kukurupuka sio kuzuri. Click to expand... Hata ukipata hiyo kazi ni mkataba maana hawawezi watu wao kukosa kazi mgeni umeziba. Kingine, nao wana kale kaugonjwa ka kuchukia wageni kwa mbali.
Emma Simbo said: Kwa maana hiyo mikataba ilipokwisha walinyimwa kuongeza. Asante saana naendelea kuchukua taarifa kukurupuka sio kuzuri. Click to expand... Hata ukipata hiyo kazi ni mkataba maana hawawezi watu wao kukosa kazi mgeni umeziba. Kingine, nao wana kale kaugonjwa ka kuchukia wageni kwa mbali.
P pond ps JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 330 Reaction score 201 Feb 3, 2018 #22 itongo said: Sikukatishi tamaa ila kwa sasa kazi Botswana ngumu wengi wamerudi baada ya mikataba kuisha. Wana maisha ya kizungu sana kwahiyo ukisota unasota haswaa. Kila kitu kwenye malls. Click to expand... Duh hhata mm hili nilikua silijui
itongo said: Sikukatishi tamaa ila kwa sasa kazi Botswana ngumu wengi wamerudi baada ya mikataba kuisha. Wana maisha ya kizungu sana kwahiyo ukisota unasota haswaa. Kila kitu kwenye malls. Click to expand... Duh hhata mm hili nilikua silijui
E Emma Simbo Member Joined Jan 28, 2018 Posts 44 Reaction score 15 Feb 4, 2018 Thread starter #23 itongo said: Hata ukipata hiyo kazi ni mkataba maana hawawezi watu wao kukosa kazi mgeni umeziba. Kingine, nao wana kale kaugonjwa ka kuchukia wageni kwa mbali. Click to expand... Shukurani kwa ufafanuzi.
itongo said: Hata ukipata hiyo kazi ni mkataba maana hawawezi watu wao kukosa kazi mgeni umeziba. Kingine, nao wana kale kaugonjwa ka kuchukia wageni kwa mbali. Click to expand... Shukurani kwa ufafanuzi.