Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

Nakuheshimu Dr Slaa ila nenda tu

Mnataka kumwandama mzee wa watu wakati mnatembea na mlafi ndani kwako
 
maswala ya ubosi yapo kwenu ccm na ndo maana mnatuumiza ,mnapenda sana ubosi matokeo yake nchi imewashinda jamaa anaonyesha kumkubali ili nasi tumkubali,upaswi kuwa na Phd kujua hili ile ni mbinu ya ushawishi na kuonyesha kuwa ubosi ni ujinga unapotafuta mafanikio.
mambo ya uboss tunawaachia nyie sie tunataka utendaji uliotukuka

Ukawa hatupendi kuelezwa ukweli hata kidogo, hasa huyu jamaa hapa yani hata hiyo fact iliyowazi nayo pia unabishaa haah..! Yan Ukawa Wengiwetu tunapelekwa pelekwa2 hatakama ukweli uwekwe wazi kuna mawatu hayaezi badiri Mtazamo wa Fikra. Me ni Ukawa lakin kuna mambo yakisemwa yanakua yanaukweli, Yan kama hilo la LOWASSA kutoa amri kwenye chama kama yeye ndio Mwenyekiti kumbe ni nobody. kweli hela ndo Mungu mtu. Chama chetu kimeuzwa.
 
Back
Top Bottom