Ni kweli isiyo kuwa na chembe kuwa Beno Ndulu ni jipu hasa ambalo raisi akiliacha litaendelea kuvimba na kujitanua, maana kuna madudu mengi sana yamefanyika chini yake, mfano swala la Kimei kufanya ulanguzi wa fedha, huyu Ndulu apasuliwe tu maana haina namna.