Unasubiri hadi next yearBaadhi ya vyuo second round selections bado haijatoka huku third round of applications imeshafungwa.
Third round sikuapply kwasababu nilikuwa nasubiri UDOM na MZUMBE watoe second round , mpaka sasa bado hawajatoa. What if nikikosa UDOM na MZUMBE?
Exactly kwasababu wanajuaga mfumo huwa unasumbua kwaio wana extend... hata udsm hawajafunga. Sifa wepesi WAZIIINimetoka kumfanyia mtu application round ya tatu kama nusu saa iliyopita udom bado hawajafunga
kwa nini dogo amekosa na hizo kozi za kawaida tuUmeona hapo, dogo mwenyewe ajielewi hata alipokosa siku shangaa angalia koz anazochaguaView attachment 880187
Umeona hapo, dogo mwenyewe ajielewi hata alipokosa siku shangaa angalia koz anazochaguaView attachment 880187
Hiyo crystal field theory umenikumbusha mbali sana wakati napiga masters yangu ilinitoa jasho ,mkemia hongera sanaExactly kwasababu wanajuaga mfumo huwa unasumbua kwaio wana extend... hata udsm hawajafunga. Sifa wepesi WAZIII
Anamatokeo mazuri tu lakini anakata tamaa kirahisi nia yake afike chuo tu kama kubadili akabadilishe huko , rafiki yake amemtia ndimu kwamba anaweza kubadili chuo basi me nafanya anachotaka yeye , inaelekea kuna ugumu wa kupata Maana nimemjazia vizuri plus ye ni msichana kwa ufauru wake ingebidi apatekwa nini dogo amekosa na hizo kozi za kawaida tu
Ndio hivyo ndugu ningeweza kumshauri sema me masomo yao siyajui angekua amesoma science ingekua rahisi kumsaidia pia na epuka lawama akikosa asije kusema nilimuharibiaHahahaa!! Dogo kama anachagua viazi gengeni
Ndio hivyo ndugu ningeweza kumshauri sema me masomo yao siyajui angekua amesoma science ingekua rahisi kumsaidia pia na epuka lawama akikosa asije kusema nilimuharibia
Umeona hapo, dogo mwenyewe ajielewi hata alipokosa siku shangaa angalia koz anazochaguaView attachment 880187
Huyu mtu amenisikitisha sana kwa kweli.Umeona hapo, dogo mwenyewe ajielewi hata alipokosa siku shangaa angalia koz anazochaguaView attachment 880187
na mimi nimeshangaa nilifikr course hizo hazina ushindani kumbe kila kozi mwaka huu kupata ni kazi sana??kwa nini dogo amekosa na hizo kozi za kawaida tu