Nakuchukia Baba yangu

Mwehu wewe
 
Itoshe kusema huna akili
 
Nimeshuhudia wamama wakifukuza baba watoto (tena muda mwingine kwa kushirikiana na wazazi wa mwanamke) kisha baadae kibao kinageuzwa eti baba huyo aliwatelekeza
 
Aisee, pole Sana kwa uliyopitia. Binafsi maisha ya mtaani nayafahamu hasa pale unapokosa mzazi. Ila naomba nikuulize Jambo, Je, umeshawahi kukaa na mzee ukamuuliza sababu ya yeye kufanya yale maamuzi magumu?
Wanawake wanawakwaza waume zao Sana kwenye ndoa, ndipo hapo mtu anaona ni Bora aamue kukaa pembeni. Wengi hawadadisi maovu ya mama zao, na huku SI haki.
 
Kwa hiyo unatuandikia yote hayo unataka sisi tufanyeje?
Elewa kwamba Wewe hauko peke yako, waliolelewa na mama tu ni wengi sana. Halafu kuna wenye mama na baba, lakini baba mwenyewe ni kama hayupo au ni bora asingekuwepo.
Pambana hadi kieleweke kama au zaidi ya Mondi.
 
Usimchukie one way mkuu, ukifk miaka 35/45 kam utaelewa Inaweza kuw bab yako alisak aman yake nakulnd afya na uhai wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…