Kakwambia walitelekezwa sababu gani?, unaamini kwamba walitelekezwa sababu ya baba kupata mwanamke mwingine?.We can make productive reasoning without insulting each other.
Nimekuwa city centre of Dar es salaam, karibu kabisa na Dogodogo centre, kwahiyo najua kuna sababu tofauti zinazosababisha kuwa na watoto wa mitaani, but I don't understand your point.
Ukiongea kuhusu vita ya kifamilia, mimi binafsi as a father, nakuhakikishia hakuna mtu atachukua mtoto wangu. I'll protect them by any price.
Mkuu hapa anatuambia wametelekezwa na baba yao, hii mambo ya vita ya kifamilia ni story kutoka wapi?
Chochote kitakachotokea kwa mahusiano MWANAUME ndo anaraumiwa!!Mvulana kamwe hawezi kuielewa hii kauli ila ngoja awe mwanaume sasaa ndio atakuja kuelewa kipi ulimaanisha
Binafsi kabla sijaoa (kipindi naishi na wazazi) nilikua upande wa Mama kwenye matukio mengi nikiona kuna kutokuelewana baina ya wazazi wangu japo kuwa ilikua changamoto ndogo ndogo
Ila baada ya kuoa tuu ndo nikaelewa nafasi ya Baba, na kuanzia hapo nilizidisha Mapenzi makubwa mnoo kwa marehem Baba yangu, Mungu amuweke mahala pema
Wanaume tunapitia changamoto kubwa saana kwenye mahusiano ni vilee tuu huwa hatuna muda wa kulalamika lalamika
Kakwambia walitelekezwa sababu gani?, unaamini kwamba walitelekezwa sababu ya baba kupata mwanamke mwingine?.
Naamini baba kupata mwanamke mwingine ilikuwa second & best solution kwenye maisha yake kwa kipindi hicho.
Hakuna ajuaye yote lkn pia nikudokezee tu., baba anaweza kumfanyia mke ukatili wa kijinsia kimwili lkn mwanamke anaweza kumfanyia mwanaume ukatili wa kiakili na mwanaume akapata uchizi...ndoa zina siri sana mzee baba na haya masuala siyo ya kulaumu upande mmoja tu
Kwani wazazi wangapi wame play part 100% lakini watoto wao wamewaterekeza???Mara nyingi tunaona wazee wakiwapakazi watoto zao kwamba hawawajali. Ukiamua kuondoka nenda usirudi kutafuta huruma uzeeni
There's no any father who can abandon his children!!!! We abandon their mother(s) and if necessary, we give up upon them (children )There's no excuse to abandon your children. Period
Halafu tatizo ni nyie hao hao wanaume, mkiwa na wake zenu hamna muda nao busy na mama zenu eti ndiye kanizaa, na watoto wenu wakiume na wao wakikua busy na mama zao wakati huo huyo baba mama yake hayupo na ndiyo hapo anapokumbuka na muda umeshamtupa,Mkuu hilo lisikupe tabu. Kuna watoto ambao wamspiganiwa na baba zao mpaka baba zao wakapata magonjwa ya moyo. Lakina walipojipata wamewachuka mama zao nakuwaacha baba zao wamalizwe na BP. Nawengine huwapigia cm na kuwatumia hela mama zao tuu!.
NB:
Kama mtu anamuon Baba yake ni useless abadili ubini pia asimsaidie chochote, hata akiumwa usimtibishe ili mzee awahi kurudi kwa Muumba wake mapema ili akutolee kiwingu.
Ukosahih kabsaa,ila ilitakiwa watoto wakiume wajikite na baba zao ili watengeneze mfumo mzuri. Hilo la wamama tuwaachie mabinti.Halafu tatizo ni nyie hao hao wanaume, mkiwa na wake zenu hamna muda nao busy na mama zenu eti ndiye kanizaa, na watoto wenu wakiume na wao wakikua busy na mama zao wakati huo huyo baba mama yake hayupo na ndiyo hapo anapokumbuka na muda umeshamtupa,
Kila mtu mama yake, mama yake, yaani ambao hawana ubaguzi na wazazi ni watoto wa kike, labda huku mikoa ya ukanda wa pwani wenye mfumo jike.Ukosahih kabsaa,ila ilitakiwa watoto wakiume wajikite na baba zao ili watengeneze mfumo mzuri. Hilo la wamama tuwaachie mabinti.
Nauliza, yeye amejuaje?Unauliza au unabisha?
Jibu sasa..dah una maswali hata mtoto mdogo anaweza kuyajibu.
Ngoja yatukute coz tumeamua kuchagua njia ya kishenzi saana.Kila mtu mama yake, mama yake, yaani ambao hawana ubaguzi na wazazi ni watoto wa kike, labda huku mikoa ya ukanda wa pwani wenye mfumo jike.
Yeye kajuaje Bana yake aliondoka na mwanamke mwingine?Hapa ulidai kalishwa sumu. Ulijuaje kalishwa sumu, ulikuwepo?
Hapa unadai uliuliza alijuaje baba yake aliondoka na mwanamke mwingine.
Mwanzoni ulidai alilishwa sumu na mama yake ukidhani alikuwa na 2 weeks, ukagundua alikuwa mkubwa wa kuweza kutambua baba kaondoka. Then ukajifanya unauliza alijuaje.
Wewe ni miongoni mwa The Runners, mnaoamini mtafyatua tu mtaani alafu watoto wakikua watawatafuta?
Mwenyekiti wenu Mzee Nyembo baba yake Ommy Dimpoz, Makamu Mwenyekiti Mzee Abdul star wa "Dudu la Yuyu" baba yake Diamond.
Uzuri siku hizi wazazi uchwara hamuwezi kutoa laana, wanatoa laana waliowajibika tu.
Ndiye huyo huyo mwenye midevuHuwezi kuanzia herufi ndogo kuandika jina la Yesu! Basi huyo "yesu" uliyemwandika sio Yesu Bwana wetu.
ndiyo,ukisoma kwa umakini utagundua ktk post yangu niliandika akaondoka na mwanamke. Labda umesoma ukakata baadhi ya maneno yangu.Kakwambia walitelekezwa sababu gani?, unaamini kwamba walitelekezwa sababu ya baba kupata mwanamke mwingine?.
Naamini baba kupata mwanamke mwingine ilikuwa second & best solution kwenye maisha yake kwa kipindi hicho.
Hakuna ajuaye yote lkn pia nikudokezee tu., baba anaweza kumfanyia mke ukatili wa kijinsia kimwili lkn mwanamke anaweza kumfanyia mwanaume ukatili wa kiakili na mwanaume akapata uchizi...ndoa zina siri sana mzee baba na haya masuala siyo ya kulaumu upande mmoja tu
Hakuna yakunikuta mie mwenyewe nimetoka familia yenye baba na mama na watoto kibao wote mama 1 na baba 1, heshima ya baba ilikuwa pale paleNgoja yatukute coz tumeamua kuchagua njia ya kishenzi saana.
SweetyCandy humchukii @TateMkuu?Nenda kanisani hii hali itaisha