Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 2,015
- 3,965
Ahahahaha mwendo wa kutoleana uvivu tu.Unajifanya dangote ukiwa unaimbisha ukipigwa vizinga unalia lia halafu subili ukue bado mdogo kwanza
Anajichosha tu anakimbilia mapenzi uwezo hana bado mtoto atulie akue kwanza mapenzi yapo atayakutaAhahahaha mwendo wa kutoleana uvivu tu.
Shunie!Unajifanya dangote ukiwa unaimbisha ukipigwa vizinga unalia lia halafu subili ukue bado mdogo kwanza
Wewe hupendii viben ten kumbeAnajichosha tu anakimbilia mapenzi uwezo hana bado mtoto atulie akue kwanza mapenzi yapo atayakuta
Abeeh shikamooShunie!
Hata kuviona sipendi nani anataka kugombania dressing table na mtoto wa mwanamke mwenzieWewe hupendii viben ten kumbe
Marahabaaa. Hujambo?Abeeh shikamoo
Sijambo mimi habari za wewe DrloveMarahabaaa. Hujambo?
Mh! Wanawake wenzio vinawakuna kisawasawa baki hivo hivoHata kuviona sipendi nani anataka kugombania dressing table na mtoto wa mwanamke mwenzie
Naendelea vyema kwa kudra za mnyaazi Mungu. Naomba nisindikize msibani kesho.Sijambo mimi habari za wewe Drlove
Ni wao mkuu me vinipitie pembeni me sio mama wa fursa siwezi lea mfugo aina ya binadamuMh! Wanawake wenzio vinawakuna kisawasawa baki hivo hivo
SawaNaendelea vyema kwa kudra za mnyaazi Mungu. Naomba nisindikize msibani kesho.
Poa. Nitakupigia basi nikiwa njiani kukupitia. Uwe tayari basi, isiwe kama siku ile.Sawa
Mimi naona ungepita kimya kimya tu hauna ushauriAnajichosha tu anakimbilia mapenzi uwezo hana bado mtoto atulie akue kwanza mapenzi yapo atayakuta
Nipite kimya simu yako na bundle lako mxiuuewMimi naona ungepita kimya kimya tu hauna ushauri
YawezekanaKweli wanaume mmeumbwa mateso kuhangaika!