Nakosa pesa ya ziada ya kuhonga

Status
Not open for further replies.

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,383
Reaction score
7,980
Leo ngoja niseme tu yaliyomo moyoni
Mimi ni kijana na kama umri wa miaka 22 mtafutaji mishe mishe za hapa kwa umri wangu bado sijajijenga kiuchumi
Nakama mnavyojua tena mapenzi ya sasa bila hela upati kitu
Mimi nilikuwa na mchumba lakini kaniacha sababu ya kutompa pesa za kutosha nilikuwa sana natamani nimuhudumie lakini sababu nahofia pia mtaji wangu kufa hivyo nikaona bora aniache mana leo anatak hichi kesho hichi
Hapa nilipo nipo single mda mrefu sababu ya mishemish zangu zinachangia pia kingine nimetongoza mabinti kama watatu lakini niambulia kupigwa mizinga kabla hata mzigo sijapewa imenikatisha tamaa
Nimejaribu kufikiria mchezo wa puli lakini nikiangalia madhara naona ni hatari zaidi
Jamani mahitaji yangu sio kupata ngono peke yake
Hali ya vyuma kukaza tena nashindwa kumeneji vyote mapenzi na pesa
 
Unatafuta mke wa kuoa au vibint vya kukutimizia haja zako.

Wapita njia lazima wachume wasitoke kapa ila wa malengo hawezi kuanza vizinga hata awe na shida.

Tuliza akili, fanya maisha, tafuta mwenza wa kudumu.
 
Kwahiyo unataka tukusaidie je?
Vijana wenzio huku wameamua kuachia marinda. Unaweza kuharibu pia
 
Kwahiyo unataka tukusaidie je?
Vijana wenzio huku wameamua kuachia marinda. Unaweza kuharibu pia
Wapo walionisaidia kimawazo tayari kwani we wa kwanza kukoment mkuu umezingua
 
Kwani usipohonga unapungua uzito? Au unaugua mkuu...waza maendeleo sio ngono
 
Kuwa na cash yako unapata nyapu unayoitaka achana na mambo ya kuhonga mkuu
 
Ongeza bidii ww au km vp vizia mabeki 3
 
Mdogo wake deogratius kisandu kumbe upo. Kamuwekee kaka yako dhamana
 
Njoo tuungane basi maana maisha ndo yalivo now
 
Bado mdogo ongeza mtaji madem badae acha ufara dogo mademu wapo
 
Kwani mwanamke anataka hela?we sema huna mbinu tu,inawezekana kabisa kila week ukalala na mwanamke mpya..ukifikisha wanawake km 10 hivi unatafuta ambaye hakupi stress unaPiga chini waliobaki unabakiza mmoja wa kusafishia rungu na mmoja wa akiba....kiburi kikianza unarudia akiba zKo,akiba haiozi
 
Pesa ni muhimu sana kaka nimeprove hilo
 
Nilipokuwa nina umri wa miaka 22 nilipambana sana kupata Elimu bora ili iweze kunisaidia maishani. Baada ya kupata Elimu bora na kunisaidia maishani, ndio suala la mapenzi likapata nafasi. Cha kushangaza sikuwa natumia msuli sana na kila kitu kilikuwa automatic kama kumsukuma mlevi. Yote hayo yaliwezekana kwa sababu nilizingatia sana sana Elimu katika umri wa miaka 22. Weka bidii katika kesho yako, bado haujachelewa. Mapenzi ya zama hizi bila kuwa financially stable ni Kwikwi.
Kila la kheri.
PS: Embu nitumie namba ya huyo shemeji aliyekusumbua PM ili nimseme kwa ubaya aliokufanyia, labda atajirekebisha.
 
[emoji120]
 
Kahabaa we. Kauzee chps ukoo. Mshenzz nn.umri wko Wa nyegee za kupevkaa utakujaa ufee pakaa shumeee...

Unatafuta mke wa kuoa au vibint vya kukutimizia haja zako.

Wapita njia lazima wachume wasitoke kapa ila wa malengo hawezi kuanza vizinga hata awe na shida.

Tuliza akili, fanya maisha, tafuta mwenza wa kudumu.

Kwahiyo unataka tukusaidie je?
Vijana wenzio huku wameamua kuachia marinda. Unaweza kuharibu pia

Bado mdogo ongeza mtaji madem badae acha ufara dogo mademu wapo
 
Unajifanya dangote ukiwa unaimbisha ukipigwa vizinga unalia lia halafu subili ukue bado mdogo kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…