Nakosa mpaka hela ya guest

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,511
2,000
Wajomba/shangazi zangu wa Jf kwanza nianze kwa kuwaeleza Hali halisi ya kiuchumi nayopitia.mimi kiukweli bado tegemezi kwa zaidi ya asilimia 60.namaanisha kipato changu nasaidiwa na wadau wengine ndugu zangu.sasa siku hizi kipato changu kinachezea chini ya dollar mbili kwa siku.pesa yangu kwa siku nayopata na kutumia Ni chini ya 5000.na nikisema niiweke akiba Basi jua itakuwa vigumu kuipata nyingine inanibidi niitumie hio pesa ndo nipate angalau nyingine.ndio maisha yangu hayo Mimi na vijana wengi wa kitanzania.toka mwanzo natambua kuwa jukumu la kulipia guest ni la mwanaume.nina mademu Kama watatu hivi afu huwezi kuamini nimewapata kizali zali yaani bila kuwa na hela wamenielewa uzuri Ni kwamba hawaniombi hela.sasa tatizo lipo kwenye mimi kukosa hela ya kukodi chumba guest House ili nifanye nao mambo SI mnajua tena.sina chumba naishi home na siwezi kufanya ujinga wa kuingiza demu ndani kwetu.mpaka nimechoka akili Kama juzi Valentine day nimeshindwa kugemua kisa Sina 10000 ya guest.najua humu ndani Kuna hamuwezi kushindwa kunisaidia chochote.nawasikiliza nyie kwa Sasa ndio msaada wangu natanguliza shukrani.
 

Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
9,171
2,000
Mkuu kwani ukichukua buku 7 unayopewa pale lumumba ukaizidisha mara 7 si unapata Tsh 49,000?

JItahidi uwe unashindia walau mihogo ya bukubuku ill mwisho wa week uwe na akiba ya Tsh 42,000 alafu utafute malaya wa bei rahisi inatosha kabisa.

Kumbuka lakini ndani ya week hiyo tutaepukana na utumbo wako unaopost huku jamiiforums
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,180
2,000
Mkuu kwani ukimchukua buku 7 unayopewa pale lumumba ukaizidisha mara 7 si unapata Tsh 49,000?

JItahidi uwe unashindia walau mihogo ya bukubuku ill mwisho wa week uwe na akiba ya Tsh 42,000 alafu utafute malaya wa bei rahisi inatosha kabisa.

Kumbuka lakini ndani ya week hiyo tutaepukana na utumbo wako unaopost huku jamiiforums
Kumbe ni li-CCM?? Likafie mbali huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom