thadey makusilo
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 11
Kama sio story ya kutunga toka 2008 - 2o13(mwezi wa tano) takiribani miaka mitano ndio anakutafuta tena mama yake aliyekuwa anakataa kakubali!!!!!Mambo vp wana JF,mwaka 2008,nikiwa kidato cha sita ilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja aliyekuwa kidato cha tano,tulipendana sana na kuweka maazimio mbalimbali yakiwemo ya kuishi pamoja kama mme na mke,mpenzi wangu huyu alimfahamisha mamayake kwa kuwa alikuwa naye karibu lakn vilvle baba yake alishatangulia mbele ya haki,lakini mama yake alimkataza kwa sabab ya dini kwa kuwa mi mkrsto na yeye muislam,kwa kuwa nilikuwa naelekea mwisho wa masomo nikaona isiwe tabu nikimaliza shule iwe mwisho wetu kwan sikuona umuhim tena kwa kuwa sikuwa na future naye,hvyo tulipotezana katk mawasiliano, lakini amepata mawasiliano yangu zaidi ya miezi sita sasa na anasema bado ananipenda na mama yake amemruhusu kuolewa nami bila hvyo atajidhuru,tatizo linakuja nmeshapata msichana mwingine ambaye nimeshazaa naye na nafikiri kufunga naye ndoa,wadau hapa nifanyaje?naomba mawazo yenu...
Mambo vp wana JF,mwaka 2008,nikiwa kidato cha sita ilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja aliyekuwa kidato cha tano,tulipendana sana na kuweka maazimio mbalimbali yakiwemo ya kuishi pamoja kama mme na mke,mpenzi wangu huyu alimfahamisha mamayake kwa kuwa alikuwa naye karibu lakn vilvle baba yake alishatangulia mbele ya haki,lakini mama yake alimkataza kwa sabab ya dini kwa kuwa mi mkrsto na yeye muislam,kwa kuwa nilikuwa naelekea mwisho wa masomo nikaona isiwe tabu nikimaliza shule iwe mwisho wetu kwan sikuona umuhim tena kwa kuwa sikuwa na future naye,hvyo tulipotezana katk mawasiliano, lakini amepata mawasiliano yangu zaidi ya miezi sita sasa na anasema bado ananipenda na mama yake amemruhusu kuolewa nami bila hvyo atajidhuru,tatizo linakuja nmeshapata msichana mwingine ambaye nimeshazaa naye na nafikiri kufunga naye ndoa,wadau hapa nifanyaje?naomba mawazo yenu...

Ni ngumu kwa wewe kua na maamuz sahihi
huyo umri umeenda anatafuta pakupumzikia wewe funguka macho. mpaka mama amekubali ujue ameona binti yake atakosa mwenzi atamdodea.... katika kujadiliana wakumbuka kunakinega nilikizengua na kilikuwa kimekufa akioni mbele,.... ndo wakaamua kukutafuta... ila kama unampenda jiingize tu baada ya mwezi ndoa ya mkeka ....
Wanaume wengine wana midomo ya kulia ugali tu. Na ukiona hivyo bado anatamani papuchi ya zamaniAsingepata mawasiliano yako angefanyaje? Unashindwaje kumwambia ukweli kuwa tayari una familia? Mwanaume unashindwaje kujieleza? au tamaa imekuzonga unamtaka tena kwa mara nyingine?