Acha mambo ya ajabu wewe utafanyaje biashara bila faida? Hapo hapo hakuna maelezo yoyote kama vile masharti ya mkopo, mahali unakopatikana n.k. Acha kupima watu akili wewe kwest kama unajua huwezi kufanya hivyo. Wewe unabipu ili uone kama kuna wanaotaka.
Hahahaha,kuna watu jana walitaka kutoa wazo la biashara jamaa anunue.
Sasa hapa najua wataku Pm na kukupigia muda sio mrefu.Maana kwa pesa za namna hiyo huwakosi
Ila ungewafamisha kwa umekuja lini kutoka Mombasa?