Nakodisha Shamba kwa Ajiri ya Kilimo

Nakodisha Shamba kwa Ajiri ya Kilimo

Umomi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
677
Reaction score
994
Habari!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo ni kwamba kuna shamba nakodisha. Shamba lipo wilaya ya Tarime mkoani Mara. Lipo barabarani japo ni kijijini hivyo hata usafirishaji wa mazao ni rahisi sana.

Shamba linasitawisha kila aina ya mazao kuanzia mahindi na mazao mengine unayojua wewe. Kama wewe unahitaji kulima na huna shamba naomba tuwasiliane. Akipatikana wa kuingia naye ubia itakuwa vzr sana make mimi kweli sina mtaji wa kuanzia ila kuuza siwezi kuliuza.

Mimi nipo Mwanza kwa sasa nasaka maisha karibuni muwekeze kwenye shamba langu
 
shamba liko karibu na chanzo cha maji?
 
Back
Top Bottom