Nitakutumia.
Sipo eneo la tukio nimetuma ombi anipigie aliyepo eneo atume niziweke jamvini
Kabisa mkuu maana yangu ni kupata mtu wa kupaendeleza kibiashara ili pawe active..tena nipate mtu mwenye ujuzi wa kuendeleza biashara maana huu sio muda wa kufanya vitu kwa kujaribu mkuu.habari mkuu mpaka umeamua kufqnya bure maanayake unamaana flani...kwa muona wako panafaa kuwana biashara gani hapo..
Kabisa mkuu maana yangu ni kupata mtu wa kupaendeleza kibiashara ili pawe active..tena nipate mtu mwenye ujuzi wa kuendeleza biashara maana huu sio muda wa kufanya vitu kwa kujaribu mkuu.
Kwa maono yangu panafaa biashara za
. Matofali
. Kuosha magari
. Baa / Kuonyesha mpira
. Duka la spea za pikipiki / magari
. Agent wa cement
. Bwawa la samaki
Nikiweka picha utaweza kuwa na maono zaidi yangu.
Kuna mdau alikuja na wazo hadi la kuweka swimming pool kubwa kama la chuo udsm lakini gharama za kuliendesha zilimshinda.
Kuna nyumba moja kubwa ina vyumba 4 vyote self contained nakodisha kodi ya chumba 50,000 kwa mwezi. Tayari vyumba viwili vimechukuliwa bado viwili natafuta wateja.
Nimefanikiwa kutumiwa picha na video eneo la tukio. Quality ya picha imejitahidi.Sipo eneo la tukio nimetuma ombi anipigie aliyepo eneo atume niziweke jamvini
Watu kama nyie mpo wala sishangai mtazamo wako utakapoona wewe ni risk wenzako wataona opportunity.Bure gharama..
Eneo bado halijachangamka mwenye nyumba anatoa frem bure kwa sababu ataki kua 'risks taker'
KWANINI?anataka uanze biashara ikichanganya tu.Unamaliza miezi yako anakutoa anaendeleza mwenyewe....
Samahani ni mtazamo tu...
Sent using Jamii Forums mobile app