Nakodisha gari toyota noah kwa mkataba

Nakodisha gari toyota noah kwa mkataba

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Iko katika hali nzuri sana na ina week ya pili tangu iingie kutoka japana. Rangi yake ni kijani na inachukua abiria watu wazima kumi, kwa watoto kumi na tano na zaidi.
Wenye hoteli na kampuni za kusafirisha wafanya kazi au kubeba vitu ambavyo si vizito
karibuni kwa mazungumzo zaidi
wasiliana na 0713 689665
 
Back
Top Bottom