Nakodisha Fremu

Nakodisha Fremu

bebiii

Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
21
Reaction score
5
Habari wana JF, nina frame iko Kongowe stand ambayo ninatafuta mtu atakayenirudishia kodi yangu iliyobakia ya miezi minne na nusu. Nilikua nafanya biashara ya Mitumba so atakaehitaji pamoja na bidhaa zilizomo ndani pia nauza.

Kodi kwa mwezi ni 70,000/=, ni eneo zuri kwa biashara limechangamka. Sababu ya kuachia fremu ninahamia mkoani, atakayehitaji anipigie kwa no: 0766 121 403
 
we muhuni tu,simu hupokei na wala huangaik na mssd calls,au hujui unachokfanya
 
Kongowe ipi ya Morogoro road au ya Kilwa road
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom