Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
Mfumo wa chaggaland
Mtazamo wako tu
Waislamu msimpe lowassa kura. lowassa ameletwa ukawa na gwajima. Lowaasaa akishinda gwajima atakua na nguvu sana. Gwajima haupendi uislamu. Vile lowassa nae ana chembechembe za kuuchukia uislamu, wakiwa madarakani wataangamiza uislamu.
Waislamu amkeni. Semeni NO kwa lowassaaaaa
Lowasa ndiye aliesaini mkataba uliyoyapa makanisa haki ya kupewa ruzuku na serikali. Waislamu wameachwa bila ruzuku yoyote licha ya kuwa walipa kodi pia.
WALLAHI mkimpa kura lowassa mtaingia motoni
Mpeni kura magufuli. Siyo mdini
Pia tuna mfumo wa kikaskazini. Hii haina ubishi fanya tafiti asilimia kubwa wanaunga mkono ukawa yetu wanatoka pande hiyo. Hili ni tatizo kidogo kwa ustawi wa nchi
Mfumo tumefikiria kuunganisha mifumo ya vyama vyote uwe mfumo mmoja.tatizo itikadi ndio zinasumbua. Sisi ni mapebari. Cuf ni waliberali kama tulivyokuwa tunadema. Nccr mfumo wa kimageuzi na nld mpaka leo tunafanya uchunguzi hatujajua wana mlengo gani.
Tuliteleza kidogo makamanda wetu waliposema cuf wana sera za kusupport ushoga. Ulimi uliteleza kidogo.ila hatujasafisha maneno hayo kwenye ansadi za bunge kwa hiyo bado kumbukumbu ipo.
UKAWA MNANFURAHSHA NA MFUMO
au mfumo wenu ni ule wa kuwakata walioshinda kweny kura za maon na kuwaweka mnaowataka
au mfumo wenu ni kuwauzia chama weny hela na kukitawala
au mfumo wenu ni kuwafukuza waanzilish wa chama na kuwapokea Makapi ya CCM u mfumo wenu ni ule wa nyie kwa nyie wa kugombania majimbo
au mfumo wenu ni ule wa kuwasafsha watu ambao mlshakwisha watuhumu kuwa ni Majifisad waliokubuh yaan wako kweny list ya mafsad wa taifa leo hii ksa wapo upande wenu mnawasafsha.
au mfumo wenu ni ule wakukurupuka leo hii unasema hv kwa mabaya ksa haukonacho lkn kesho ukkpata unaksfia,,
hv nyie vigeugeu ndo mnataka mpewe nchi? yaan ukawa hamuelewek mmekuwa km mvua za dar
Pia tuna mfumo wa kikaskazini. Hii haina ubishi fanya tafiti asilimia kubwa wanaunga mkono ukawa yetu wanatoka pande hiyo. Hili ni tatizo kidogo kwa ustawi wa nchi
Au mfumo ni mwenye chama na mwenyekiti wa chama ni mtu na mkwewe. Asilimia 80 ya viongozi ni wachaga, halafu walutheri. Asilimia 90 ya wafuasi kichwani ni sifuri
Au asilimia 0.01 ya viongozi ni waislamu. Hawa kiukweli wanaonekana ni mbumbumbu na wanawadharau sana lakini hawajitambui. Mfano Prof. Wetu..Au mfumo ni mwenye chama na mwenyekiti wa chama ni mtu na mkwewe. Asilimia 80 ya viongozi ni wachaga, halafu walutheri. Asilimia 90 ya wafuasi kichwani ni sifuri
Mkuu hivi ccm ilikuwa na wabunge wangapi kutoka kaskazini ktk bunge lililo pita?