Nakitrok Kaanabo?

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
497
Reaction score
951
idumu MMU.. idumu jamii forum! vidumu vizazi vya MMU!
.
.
'nakitrok kaanabo' ni maneno ya kimasai yanayotumiwa na mwanaume na mwanamke aghalabu wa rika moja, wanaoweza kutoka kimapenzi!
.
.
tafsiri yake huwezi kuitoa kwa tafsiri ya moja kwa moja kwani nakitrok maana yake 'mwanamke' kaanabo maana yake 'kipi kimoja'..
.
.
lakini kwa tafsiri halisi unaweza kusema ni we 'mwanamke vipi?' 'niaje? (kwa tafsiri ya ki mtaa)'
.
.
sasa niende moja kwa moja kwenye uzi wangu! hasa wa mabint wenye umri mdogo 2000+ kudate na watu wazima wenye wake zao! hivi ni kipi kinachosababisha watoto wenye umri mdogo waone wanaweza cheza ligi kuu sawa na mama zao?
.
.
unaweza kukuta binti mdogo wa 2000+ anachokiongea na anaelingana na baba yake ni utumbo wa kuku usiochomwa wala kuchemshwa!
.
.
mabinti 'kaanabo' hutamkwa kwa watu wa rika moja, ipo ladha ya mapenz kwa kuyaanza katika rika lako na kwa muda muafaka (kina mama waambieni wanenu).
.
.
vijana wetu wa kiume huko sekondari wamekuwa manyonge sana ndo maana wanakuwa mashoga, wakiangalia jacky anatoka na dereva wa bodaboda jitu la miraba minne, tena mwenye mke wake, akiulizwa anachojibu, kinachokuuma nini?
.
.
hayo si mapenzi.. ipo ladha ya kuandikiana vibarua, sijui vimemo sijui usiku mwema mama anachukua simu yake usinijibu, hio ni level ya chini kila mtoto wa kike apitie.. vinginevyo hakuna mapenzi halisi!
.
.
najua hawamo humu, waambieni kuna wakati mwingine wanaume hua wanajaribu, huyu mtoto anaingilika? kidogo tuu ushazama, na madawa kibaao ya kuzuia mimba (wanajua vitu kuwazid hata mama zao)😂😂 ripoti ya kusikitisha wanamiliki mapango kuliko hata wenye watoto wawili.. [nimeyapata kwa wenye uthubutu mimi 30 hua naiogopa sana sana!]
.
.
RAI: kina mama wafunzeni wanenu, watoe heshima zao kwa kaka na baba zao! mapenzi wayaanze katika mfumo wa 'nakitrok kaanabo'
.
.
uzi tayari
 
Naona neno "nakitock,nairo ni sawa,,,pia keiyaa,kaanabo pia ni sawa kwa lugha ya vijana lkn sijakuelewa kwenye uzi wako umedhamiria nin kutumia lugha iyo ya kimasai mkuu
 
Hawa mambinti ni hatari aisee ....

Kuna mzee ninamuheshimu sana age yake ni exact 53 yrs ila siku moja tulikuwa tumekaa sehemu tunapanga mipango ya kazi akaja katoto kadogo sana yule mzee akaniambia sijui nikutambulishe ni shemeji yako au mama yako mdogo maana ni mchepuko. Alipoondoka yule binti ndio mzee ananiambia yule binti amemamliza kidato cha nne mwaka juzi hivyo kwa mahesabu tu hata 18 atakuwa hajafika lakini anambeba kifuani babu yake.

Ila na sisi wanaume tuna uchu sana , kwa tuko lile nilimwambia mzee ajiangalie kuna mambo mawili yanaweza kuja kumtokea eidha kufungwa au kufia juu ya kifua cha hawa watoto.
 
Naona neno "nakitock,nairo ni sawa,,,pia keiyaa,kaanabo pia ni sawa kwa lugha ya vijana lkn sijakuelewa kwenye uzi wako umedhamiria nin kutumia lugha iyo ya kimasai mkuu
umasai ni utamaduni ambao bado upo na unaonekana.. japo umeanza kufifia pia! nimeamua kutumia lugha ya kimasai kuonesha kuna tatizo kwenye utamaduni wetu!!
 
umasai ni utamaduni ambao bado upo na unaonekana.. japo umeanza kufifia pia! nimeamua kutumia lugha ya kimasai kuonesha kuna tatizo kwenye utamaduni wetu!!
ukifuata utamaduni ndio utazimia. Mmasai wa miaka 70 anoa mtoto/mke wa miaka 16
Kama unajua utamaduni wa kimasai, kisukuma, kikurya/jamii za kifugaji kwa ujumla wake utajua hili pia, kuwa wazee wanaoa vitoto vidogo
 
ukifuata utamaduni ndio utazimia. Mmasai wa miaka 70 anoa mtoto/mke wa miaka 16
Kama unajua utamaduni wa kimasai, kisukuma, kikurya/jamii za kifugaji kwa ujumla wake utajua hili pia, kuwa wazee wanaoa vitoto vidogo
ni kweli si tamaduni zao.. nmetumia salam tuu kuonyeshakulingana kirika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…