Mtunzi ni Waziri Mwakyembe alikuwa anatabiri hali yake ya sasaNafikiri ni wakati muafaka kusoma kitabu hicho, Ila kwa bahati mbaya sijui nani ndiye mtunzi wa Kitabu hicho.
Moja kati ya sentensi yake ni:-
„......Hiyo nd'o pepo ya mabwege, pepo isiyo pepo ambayo bwege anaipata kwa kuuza utu wake,“ ..... (Uk. 33)
Nafikiri ni wakati muafaka kusoma kitabu hicho, Ila kwa bahati mbaya sijui nani ndiye mtunzi wa Kitabu hicho.
Moja kati ya sentensi yake ni:-
„......Hiyo nd'o pepo ya mabwege, pepo isiyo pepo ambayo bwege anaipata kwa kuuza utu wake,“ ..... (Uk. 33)
kimechapishwa mnamo mwaka 1981...Dah Kitabu cha zamani sana hicho
mkuu kama una vitabu vingine vizuri vya kiingereza/kiswahili naomba soft copy kama unazo ntashukuru sana
Jamani Kuna vitabu vya muandishi bora kabisa kuliko wote waliotokea tanzania. Mohamed Said Abdullah. Kama siri ya sifuri. Duniani kuna watu. Kisima cha ginigi na vingine vingimkuu kama una vitabu vingine vizuri vya kiingereza/kiswahili naomba soft copy kama unazo ntashukuru sana
vinapatikana wapi hivyo mkuu?Jamani Kuna vitabu vya muandishi bora kabisa kuliko wote waliotokea tanzania. Mohamed Said Abdullah. Kama siri ya sifuri. Duniani kuna watu. Kisima cha ginigi na vingine vingi
DUNIA MTI MKAVUJamani Kuna vitabu vya muandishi bora kabisa kuliko wote waliotokea tanzania. Mohamed Said Abdullah. Kama siri ya sifuri. Duniani kuna watu. Kisima cha ginigi na vingine vingi
Hiki nimekiona Moshi (V) ktk maktaba ya Kijiji.Naulizia pia miradi Bubu ya wazalendo.
Nenda hata maktaba za taifa/Mkoa ufaidi uhondo.jamani tunaomba msaada hvi vitabu tnavpataje kuvisoma kwny mtandao kma kuna mtu mwnye anajua blog au wwbsite ya hzi riwaya atusaiidie na sisi tuburudke
Mimi niliviagiza zanzibar. Ila nikapata duniani kuna watu na kisima cha ginigi. Siri ya sifuri mwanamke mmoja waume watatu na vingine sikuwahi kuvipata ila nilivisoma wakati nipo high school. Msimsahau kezilahabi, kwenye mizingile na tumaini anajua sanavinapatikana wapi hivyo mkuu?
sawa mkuu, ngoja niangalie kwenye archive yangu kisha nitakupa mrejesho. bless upmkuu kama una vitabu vingine vizuri vya kiingereza/kiswahili naomba soft copy kama unazo ntashukuru sana
ok ntarajibu kuvitafuta mkuuMimi niliviagiza zanzibar. Ila nikapata duniani kuna watu na kisima cha ginigi. Siri ya sifuri mwanamke mmoja waume watatu na vingine sikuwahi kuvipata ila nilivisoma wakati nipo high school. Msimsahau kezilahabi, kwenye mizingile na tumaini anajua sana
Duh..kwahyo siwezi kukipata bookshopsHiki nimekiona Moshi (V) ktk maktaba ya Kijiji.