Nakionea huruma Chama Cha Mapinduzi

Yaani Peter noni umulinganishe na MILARD AYO? teh teh teh milard ayo Mzee Wa amplifier weee acheni utani sasa, kwa huyo mtu NONI ( NANI) ndo niniiiiiii? Vijana Wa CCM acheni usengerema
 


With due respect ulichoandika wako ambao hawakielewi nikiwemo mimi...sijui una chuki na nani, uko very biased in your analysis, you are emotional...toa mawazo yako bila kuonyesha kuwa una emotions...
 
Walah bilall niseme huyo peter Noni ndio mara yangu ya kwanza kumsikia masikioni nwangu. Ni nani kwani na anajihusisha na masuala gani?
 
Huyo Peter Noni ni nani? Ni maarufu kuliko ZITO au ni jina la a.k.a la Rizwan Kikwete baada ya kuslim! !!?
 
Ukiwa CCM na akili huwa zinahama!
 
njaa kali sana hapa lumumba.

swissme
 
Ila peter noni asilimia kubwa watu awamjui na wanaomfahamu ni wale wanaofuatilia sana siasa
Mkuu mm nafuatilia sana siasa lkn huyu peter noni sijawahi kumsikia. Jina kama mkenya vile!!? Kiukweli simfahamu kabisa.
 
With due respect ulichoandika wako ambao hawakielewi nikiwemo mimi...sijui una chuki na nani, uko very biased in your analysis, you are emotional...toa mawazo yako bila kuonyesha kuwa una emotions...
Kama hukuelewa hta darasani ulikuwa mgumu sana kuelewa.

u can never understand some u don't want 2 understand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…