Wanasema "My body, my choice".Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta.
Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma.
Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia' mikubwa kwa kweli wanaturudisha mno juhudi nyuma. Najiuliza mno. Je, kufuga mikia ni kwamba wanachochea wao wenyewe? Kupiga picha wamebinua mikia ni kwamba wanachochea kurukwa ukuta?
Sasa naona fika ni kama wao wameridhia haya.
Niliwahi kukataa ofa ya kuruka ukuta way back.
Tuwalinde dada zetu, ile mikia si kishawishi cha hayo tunayofikiria. Ni kwa ajili ya kukalia tu.
NB:
Hata leo nikipewa naweza nikakataa kwa 100%.
Zingatia neno 'naweza'.
Ila...! Niishie hapo.
si wanasema ile ni involuntary action yani kama unavofunga macho na kuyafungua? au km kifo unashangaa shwaaah malaika au shetani uyu apa na wanaweTangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta.
Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma.
Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia' mikubwa kwa kweli wanaturudisha mno juhudi nyuma. Najiuliza mno. Je, kufuga mikia ni kwamba wanachochea wao wenyewe? Kupiga picha wamebinua mikia ni kwamba wanachochea kurukwa ukuta?
Sasa naona fika ni kama wao wameridhia haya.
Niliwahi kukataa ofa ya kuruka ukuta way back.
Tuwalinde dada zetu, ile mikia si kishawishi cha hayo tunayofikiria. Ni kwa ajili ya kukalia tu.
NB:
Hata leo nikipewa naweza nikakataa kwa 100%.
Zingatia neno 'naweza'.
Ila...! Niishie hapo.
Siwezi bishana na watu mnaishi nyumba moja watu 20 kama ng'ombe, huwezi ligi mzee kaa kushoto.We mswahili nataka kujua kama tayari umeanzisha ligi au upo kwenye pre-season.
Kama unataka taarifa zangu nenda NNI
Down goes the loser.Siwezi bishana na watu mnaishi nyumba moja watu 20 kama ng'ombe, huwezi ligi mzee kaa kushoto.
Kwa hivyo kumbe wanaridhia kufanyiwa 'ukatili' huu? Aisee!Wanasema "My body, my choice".
Weee nawe fanya unalotaka na mwili wako.
and here you are wasting time arguing with a loser, what does that make you?Down goes the loser.
Wewe unachoona ukatili, wengine ndiyo raha yao.Kwa hivyo kumbe wanaridhia kufanyiwa 'ukatili' huu? Aisee!
Unaweza kuruhusu mwanao atumie cocaine kwa sababu ndio raha yake? hoja dhaifu sana mzee.Wewe unachoona ukatili, wengine ndiyo raha yao.
Sasa na wewe unaweza kuwafanyia ukatili kwa kuwanyima raha zao.
Aisee, niko ofisini nimecheka kwa nguvu sana, ngoja niondoke nikaanze beersKwahiyo tujadili miknd ya watu, au sio???
Wapi....Aisee, niko ofisini nimecheka kwa nguvu sana, ngoja niondoke nikaanze beers
Mitaa ya Muhashamu baba Askofu Gwajima, wanajeshi wanapojifunzia kulenga bundukiWapi....
Unabubujikwa na machozi km lucasπ€£Inaumiza mno, kiasi cha kutoa machozi.
I'm not arguing with you,just making you mad by ignoring your far-fetched points.and here you are wasting time arguing with a loser, what does that make you?
kwa niaba yake tusamehe sisi mhindi. vijana wamesikiaI'm not arguing with you,just making you mad by ignoring your far-fetched points.
Duh! Code ngumu mnoo sijaambulia kituTangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta.
Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma.
Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia' mikubwa kwa kweli wanaturudisha mno juhudi nyuma. Najiuliza mno. Je, kufuga mikia ni kwamba wanachochea wao wenyewe? Kupiga picha wamebinua mikia ni kwamba wanachochea kurukwa ukuta?
Sasa naona fika ni kama wao wameridhia haya.
Niliwahi kukataa ofa ya kuruka ukuta way back.
Tuwalinde dada zetu, ile mikia si kishawishi cha hayo tunayofikiria. Ni kwa ajili ya kukalia tu.
NB:
Hata leo nikipewa naweza nikakataa kwa 100%.
Zingatia neno 'naweza'.
Ila...! Niishie hapo.
πππβ οΈβ οΈβ οΈβ οΈ2. Kama watu WAZIMA wawili wamekubaliana kufanya jambo fulani ambalo ni la kifaragha, ikiwa wanajua athari zake (kama zipo) basi hakuna namna ya kuwazuia.
Kwahiyo tujadili miknd ya watu, au sio???