Nakazia feisali ni overrated

Nakazia feisali ni overrated

Huyu ni mchezaji wetu pendwa Yanga.alituumiza sana kwenda Azam nakumbuka zile siku
Huyo ni mchezaji pendwa wa makolo.

Mpaka jezi za mnyama alishavishwa.
Screenshot_20250907-124019_Google.jpg
 
Ngoja tuone...


Cc: Mahondaw
Huyoo ni overrated mkuu , niamini Mimi , kuna short term wonder players, ndo kama huyo jamaa, ningumu kwa wachezaji wakitanzania kumaintain form kwa zaidi ya misimu 4, huyo dogoo kachoka..nambaya zaidi ubora wake kiuchezaji uko sehemu mbili tu mashuti na assist,vitu ambavyo hafanyi tena
 
Back
Top Bottom