Hebu skieni nyie watu yuko wapi au anafanya nini is not a big deal kwani kuna mtu anaweza kutoa definition ya mtu kufanikiwa au kuto fanikiwa zaidi ya yeye mwenyewe? Labda hapo alipo ndio the best she wanted to attain unless yeye aseme vinginevyo.Preference na satisfaction thats all !! Nauza nyumba nahamia hotelini nani kakwambia nimechemsha kama mimi mwenyewe sijasema kwamba nimechemsha?