quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 391
- 175
Je, nini maslahi ya vyombo hivi vya habari vya wazungu katika vita ya Libya, ilihali kulipotoka taarifa kuwa Afrika Kusini wamepeleka ndege yao kutorosha Ghadafi vyombo hivyo vya habari vilikuja juu kuilamu Afrika Kusini, ni wanachokitaka hawa watu?
Kuna maslahi ya kila upande katika media, all in all iwe leo au kesho Kadafi ataondolewa tu it is a matter of time.
Vyovyote iwavyo utawala wa Muamar Ghadafi ndo umeshafikia mwisho kwa sababu hadi hivi ninapoandika anapigania mji wa Tripol tu wakati yeye alikuwa mtawala wa nchi nzima. Na kwa taarifa yako ilikuwa ngumu sana kumzungumzia Ghadafi hovyohovyo nchini Libya lakini leo watu wanauwa hadi wajukuu zake na kumtukana waziwazi. Ni suala la muda tu kwani hakuna aliyeamini kwamba Gbagbo angeng'oka lakini yuko wapi? NGUVU YA UMMA NI NOUMA!!!!!!!!!!Nimefatilia kwa karibu hali inayoendelea nchini Libya kuung'oa utawala wa Col. Ghadafi, nimekosa imani kabisa na vyombo vya habari vya kimagharibi (BBC, Sky News) pamoja na kile cha wamarekani (CNN) toka watangaze waasi wa libya wanashikilia asilimia 90 ya mji wa Tripoli wamekua wakitoa taarifa zisizo na uhakika pamoja na kutuonesha live nini kinachoendelea. Hizi ni baadhi:
i. Kwamba, waasi wanashikilia 90% ya mji wa Tripoli (BBC), CNN wanasema 80%
ii. Correspondents wa BBC toka juzi wanasema waasi wameuteka mji wote na hawatorudi nyuma wala hakuna vipingamizi walivyokutana navyo usiku wa kuamkia leo wanatuambia waasi itabidi wasikae Tripoli warudi kwani hali bado si shwari mji haujatulia kutokana na majeshi ya Ghadafi kushambulia (BBC,CNN).
iii. BBC, Sky News,CCN walitoa taarifa toka juzi kuwa watoto 3 wa Col. Ghadafi wamekamatwa na wanashikiliwa na waasi, alfajiri ya leo Saif Al-Islam kajitokeza hadharani na kukanusha kukamatwa kwake na kutoa taarifa kuwa babake yuko hai na salam na kwamba bado wanaushikilia mji wa Tripoli.
Je, nini maslahi ya vyombo hivi vya habari vya wazungu katika vita ya Libya, ilihali kulipotoka taarifa kuwa Afrika Kusini wamepeleka ndege yao kutorosha Ghadafi vyombo hivyo vya habari vilikuja juu kuilamu Afrika Kusini, ni wanachokitaka hawa watu?
Nimefatilia kwa karibu hali inayoendelea nchini Libya kuung'oa utawala wa Col. Ghadafi, nimekosa imani kabisa na vyombo vya habari vya kimagharibi (BBC, Sky News) pamoja na kile cha wamarekani (CNN) toka watangaze waasi wa libya wanashikilia asilimia 90 ya mji wa Tripoli wamekua wakitoa taarifa zisizo na uhakika pamoja na kutuonesha live nini kinachoendelea. Hizi ni baadhi:
i. Kwamba, waasi wanashikilia 90% ya mji wa Tripoli (BBC), CNN wanasema 80%
ii. Correspondents wa BBC toka juzi wanasema waasi wameuteka mji wote na hawatorudi nyuma wala hakuna vipingamizi walivyokutana navyo usiku wa kuamkia leo wanatuambia waasi itabidi wasikae Tripoli warudi kwani hali bado si shwari mji haujatulia kutokana na majeshi ya Ghadafi kushambulia (BBC,CNN).
iii. BBC, Sky News,CCN walitoa taarifa toka juzi kuwa watoto 3 wa Col. Ghadafi wamekamatwa na wanashikiliwa na waasi, alfajiri ya leo Saif Al-Islam kajitokeza hadharani na kukanusha kukamatwa kwake na kutoa taarifa kuwa babake yuko hai na salam na kwamba bado wanaushikilia mji wa Tripoli.
Je, nini maslahi ya vyombo hivi vya habari vya wazungu katika vita ya Libya, ilihali kulipotoka taarifa kuwa Afrika Kusini wamepeleka ndege yao kutorosha Ghadafi vyombo hivyo vya habari vilikuja juu kuilamu Afrika Kusini, ni wanachokitaka hawa watu?
Media ndio huwa inaamua mwelekeo wa vita kwa hiyo usihofu wanaotawala media ndio watashinda hata kama ushindi wao utachelewa
Sasa hivi Cameroon anawaza jinsi ya kuweka mabomba ya mafuta toka libya to uk through france.........Changanya na zako[/QUOTE
Cameroon na Obama wote kwa pamoja wamesema wao wana urafiki mkubwa na Libya hivyo wanaiomba hii transition iwe ya amani na utulivu, urafiki huu umeanza lini na hawa waasi? pia 'new constitution' isiwe ya kidikteta bali ya kidemokrasia. Mimi kwa mawazo yangu ni kuwa wanataka kuwepo na demokrasia ili kuwe na uwingi wa vyama kila mmoja akivutia upande wake halafu wao wanapandikiza mtu wao kupitia chama fulani ili waweze kumiliki dola na kunyonya mafuta kirahisi.
Asante mkuurekebisha kichwa cha habari hakuna kitu kinachoitwa medias
Taarifa aliyoitoa usiku wa kuamkia jana kupitia televisheni ya taifa amewatangazia raia wote wa Libya hasa wale walioko Tripoli kuwa sasa Tripoli imegeuka Baghdad hivyo wananchi wafanye kila wawezalo kuwarudisha nyuma waasi, hapa anamaanisha watu waanze kujitoa mhanga, je hii itawezekana?Vyovyote iwavyo utawala wa Muamar Ghadafi ndo umeshafikia mwisho kwa sababu hadi hivi ninapoandika anapigania mji wa Tripol tu wakati yeye alikuwa mtawala wa nchi nzima. Na kwa taarifa yako ilikuwa ngumu sana kumzungumzia Ghadafi hovyohovyo nchini Libya lakini leo watu wanauwa hadi wajukuu zake na kumtukana waziwazi. Ni suala la muda tu kwani hakuna aliyeamini kwamba Gbagbo angeng'oka lakini yuko wapi? NGUVU YA UMMA NI NOUMA!!!!!!!!!!
Mkuu sijakusoma
when is O Campo going to prosecute the NATO masterminds?kiukweli hata seif al islam alipotoka mafichoni alionekana dhahiri kuwa maji yamefika shingoni wamepoteza kila kitu.Kwisha habari habari yao bado kunyongwa na OKAMPO.IT'S A MATTER OF TIME WAIT AND SEE.