Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 365
- 581
Tuambie Umeelewa Nini Katika hii picha
Anhaa nimepata idea kupitia wazo hili[emoji122]Hiyo picha inafutwa ..lakini sababu hasa ni msingi wa hiyo picha ambao umeegemea kwenye dini ambayo ilitumika kama njia ya kutuibia kipindi hicho..sasa jamaa akili imerudi wameona ilikua mbinu tu ya kutupiga.
Ila huyu Jamaa hio kaptula ndo ikoje hivyo??Tuambie Umeelewa Nini Katika hii pichaView attachment 1800397
Jamaa aliyechora picha hii ni mpumbavu Sana.Unajua Kwanini? Twende taratibu mtanielewa tu japo nimetumia lugha ngumu kidogo.Ni hivi Huyo Yesu na Maria mnawaonea bure,Hebu fikiria Mama Bikira Maria alizaliwa kabla ya karne ya kwanza (Karibu na Karne ya kwanza), wakati Bwana wetu Yesu Kristo alizaliwa karne ya kwanza, mwaka moja,Bwana wetu Yesu Kristo alifanya Kazi (Kazi ya utume, kuhubiri injili)kwa miaka mitatu alitesa, akafa na kuzikwa akiwa na miaka 33 tu, Mama yake ndo huyo aliambatana Naye.Tuambie Umeelewa Nini Katika hii pichaView attachment 1800397
Hapo Huyo fundi alipewa kazi yakuchora na hakulipwa sasa wameona kama mbwai iwe mbwai bora waifuteTuambie Umeelewa Nini Katika hii pichaView attachment 1800397
𝐔𝐥𝐢𝐜𝐡𝐨𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐥 𝐚𝐟 𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐬𝐚𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐮𝐤𝐢𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐢𝐬𝐬𝐢𝐨𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐭𝐨𝐤𝐨𝐦𝐞𝐳𝐚 𝐮𝐭𝐮𝐦𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐣𝐢𝐮𝐥𝐢𝐳𝐢 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐧 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚 𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐢𝐬𝐬𝐢𝐨𝐧𝐚𝐫𝐲 𝐲𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐦𝐛𝐞𝐫 𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐢𝐟𝐚𝐝𝐡𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮𝐦𝐰𝐚 𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐟𝐨𝐫𝐭 𝐣𝐞𝐬𝐮𝐬 𝐦𝐨𝐦𝐛𝐚𝐬𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐳𝐚𝐧𝐳𝐢𝐛𝐚𝐫 𝐦𝐚𝐥𝐢𝐳𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐁𝐚𝐠𝐚𝐦𝐨𝐲𝐨 𝐧𝐚 𝐮𝐣𝐢𝐮𝐥𝐢𝐳𝐢 𝐧𝐧 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐬𝐚 𝐲𝐚 𝐛𝐚𝐠𝐚𝐦𝐨𝐲𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐲𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐚𝐚 𝐬𝐨𝐦𝐞𝐭𝐢𝐦𝐞𝐬 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐚𝐬𝐥𝐚𝐡 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐤𝐮𝐞𝐧𝐞𝐳𝐚 𝐰𝐨𝐤𝐨𝐯𝐮 𝐦𝐤𝐮𝐮Jamaa aliyechora picha hii ni mpumbavu Sana.Unajua Kwanini??.Twende taratibu mtanielewa tu japo nimetumia lugha ngumu kidogo.Ni hivi Huyo Yesu na Maria mnawaonea bure,Hebu fikiria Mama Bikira Maria alizaliwa kabla ya karne ya kwanza (Karibu na Karne ya kwanza), wakati Bwana wetu Yesu Kristo alizaliwa karne ya kwanza, mwaka moja,Bwana wetu Yesu Kristo alifanya Kazi (Kazi ya utume,kuhubiri injili)kwa miaka mitatu alitesa,akafa na kuzikwa akiwa na miaka 33 tu,Mama yake ndo huyo aliambatana Naye.Ikiwa yeye mwenyewe alijisemea kuwa hata sehemu ya kulala Hana mnamhusishaje na mambo ya wizi wa rasilimali za Afrika??. Jamani msichume dhambi bure.Fanyeni utani na kila aina ya mizaha lkn si kwa Yesu Kristo wala Mama yake Mama Bikira Maria,Mnachuma dhambi za bure, Wamisionari nao walifanya kazi kubwa Sana kutuletea Dini,tukamjua Mungu vilivyo na Yesu Kristo,hii ilisaidia watu kustaarabika na kuishi kwa upendo mkubwa.Juzi Nilikuwa Bagamoyo hapo nikajifunza mengi namna Wamisionari walivyoweza kusaidia kukomesha biashara ya Watumwa na kuhubiri injili kwa watu wote kuwa si sahihi kuuza na kununua binadamu wenzetu.
𝐒𝐮𝐫𝐞[emoji122][emoji122][emoji122]Picha ina maanisha Dini inazidi kufutika na imani kwa watu inazidi kupungua.
Dini ujanja ya mjanja kuteka mindset za waliochelewa kujua huo ujanja kwa ahadi ya kwenda sehemu ambapo mjanja mwenyewe hajui Kama iyo sehemu ipo.Tuambie Umeelewa Nini Katika hii pichaView attachment 1800397