ThanksCongrats dear.. My advice to you put God first in everything you do ask for the Divine wisdom daily . Make God as a founder and author of your marriage . Trust the Lord with all your heart and lean not of your own understanding, make Him as your Rock in your household.. Amen.. Good luck my brother.. Thanks..
Trust nobody except you but study everybody daily including your new beautiful wife.
Bitter truth. Kiumbe ambaye hatakuangusha ni Mungu tu. Weka mikakati ya kumfanya awe kiongozi wako mkuu.
wewe ni kichwa cha familia (biologically true). simamia vizuri familia yako, nyumba yako iwe ndio mahali penye furaha kuliko mahala popote kwa kushirikiana na mwenzako.
Oa tu,lakini jua hakuna mwanamke wa peke yako
Nakutakia ndoa njema mkuu ila utakayo yaona uko utajiuliza ni kwanini nimeoa haraka
Trust nobody except you but study everybody daily including your new beautiful wife.
Bitter truth. Kiumbe ambaye hatakuangusha ni Mungu tu. Weka mikakati ya kumfanya awe kiongozi wako mkuu.
wewe ni kichwa cha familia (biologically true). simamia vizuri familia yako, nyumba yako iwe ndio mahali penye furaha kuliko mahala popote kwa kushirikiana na mwenzako.
Januari 8 naingia katika ndoa panapo majaliwa nataka ushauri pamoja na nasaha.