Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 655
Kiiiiiila siku yeye ni mizinga tu mara hivi kesho vile, kwakua nishammega sina chakupoteza.Yani ni bora ningemuajiri nijue moja kwamba natakiwa kumpa mshahara kila mwezi mana sio kwa mizinga hii.
Ngoja niwaachie wengine wakumbane na hii kadhia mana ni shida kwakweli.Mana huyu msichana nadhani anapaswa kuolewa na Bank ama Mpesa.
Kama kweli anamuacha atoe namba hapaaNipe namba yake kama kweli,Naona majukumu yamekushinda,Hahahahahaha
Hahahahahahaha! Sizani kama atatoa,ijapokuwa kuna baadhi ya wanawake unaweza kuwafanyia kila kitu lakini bado wakakuona huna unachowafanyia.Tumuache ashike hamsini zake.wapo watakaochukua nafasi ya usukani kumsaidia kuendesha.Kama kweli anamuacha atoe namba hapaa
Hahahahahahaha! Sizani kama atatoa,ijapokuwa kuna baadhi ya wanawake unaweza kuwafanyia kila kitu lakini bado wakakuona huna unachowafanyia.Tumuache ashike hamsini zake.wapo watakaochukua nafasi ya usukani kumsaidia kuendesha.
Yawezekana akawa anampenda kweli na kumuacha anashindwa,but binti tatizo vizinga vingi hajielewi.hahahahaanatikisa kiberiti
Mtupee tuYawezekana akawa anampenda kweli na kumuacha anashindwa,but binti tatizo vizinga vingi hajielewi.hahahaha
Hahahaha! Utaua watu mama Sabrina!Mtupee tu
Si wadhaifu mtupe ,msituchokeeHahahaha! Utaua watu mama Sabrina!
Nipe namba yake kama kweli,Naona majukumu yamekushinda,Hahahahahaha
Hahahaha!Nakutumia inbox
Hahahaha!Nakutumia inbox
HahahaSi wadhaifu mtupe ,msituchokee