Nakaribia kuitwa baba muda si mrefu...

nakukaribisha kwenye chama chetu wakina baba. hongera sana
 
Pemba uko au mji gani ?Mungu atawabariki atajifungua salama

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Niko zangu hospital provincial de Cabodelgado, nimemleta mkewangu kujifungua. Ninafurah/ nitafurah sana kama mkewangu atajifungua salama, kwani huyo ndio atakua mtoto wangu wa kwanza. Dua zenu zinahitajika bandugu.

Hongera sana Mkuu kuitwa baba ni jambo jema na tunakuomba uwe baba mzuri wa kuigwa . So be a someone special to ur kid
 
Sasa hivi watu wana zaa sana

Miezi 9 ilopita kulikuwa na nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…