Nakaribia kuitwa baba muda si mrefu...

Nakaribia kuitwa baba muda si mrefu...

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,080
Reaction score
12,316
Niko zangu hospital provincial de Cabodelgado, nimemleta mkewangu kujifungua.

Ninafurahi/ nitafurahi sana kama mkewangu atajifungua salama, kwani huyo ndio atakua mtoto wangu wa kwanza.

Dua zenu zinahitajika bandugu.
 
Kila la kheri mkuu...inshallah kila kitu kitaenda kwa mpangilio!
 
Nakuwatakia kila la heri, ni furaha sana kuwa mzazi.
 
no better feeling in the world.mi wife alijifungua firstborn mwezi uliopita aisee i was soooooo happy....kila la kheri
 
Yee sijui itakuwaje eti the day na me nakuwa na katotoo....siishagi kuwaza..
 
Mpaka hivi sasa nimeganda hapa nje, sijui kipi kinaendelea huko ndani.
 
Kila la heri mungu ampe wepesi shem ajifungue salama salimini...amen
 
Back
Top Bottom